Recent content by securex

  1. S

    Toto afya yafutwa na NHIF

    Haijafutwa mm nimetoka kuchukua form muda huu na wanasema mtoto anajitegemea haiingii ktk kifurushi cha mzazi
  2. S

    TANZIA Mzee Said Mohamed (baba yake GSM) afariki dunia

    Yule anaitwa said baba yao anaitwa saad
  3. S

    TANZIA Mzee Said Mohamed (baba yake GSM) afariki dunia

    Ni Saad mohamed na sio said mohamed
  4. S

    Kama hali ikiendelea hivi, Wakazi wa Dar wote watakufa kwa ugonjwa wa Dengue

    Mm ndio namaliziamalizia hapa dalili zake kichwa kuuma pamoja na macho viungo vyote vya mwili vinauma pamoja na mwili kuwaka moto ndani kwa ndani..kipimo nilifanya mnazi mmoja hosp kwa 15,000 tiba nilikuwa natumia majani ya mpapai nachemsha halafu nakunywa nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni...
  5. S

    Wapi naweza pata huduma ya westen union kwa siku za sikukuu kesho Jumatatu ya Pasaka?

    Mkuu itabidi uende jengo la ttcl mtaa wa samora wanafungua lkn ni nusu siku
  6. S

    Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

    Jamani hiyo ni pakistan huyo kaekwa bond watu hawajapeleka hela za watu za sembe ndio wamefanya hivyo ili hao waliopewa sembe wapeleke hela zao
  7. S

    Nauza asali kwa Bei nafuu sana

    Mkuu nenda mtaa wa livingstone na udoe ulizia arafat hotel na umuone muhusika unaweza kupata soko
  8. S

    Joseph Musukuma Kasheku (mb) Geita Vijijini usiwadanganye watanzania

    mkuu ingekuwa busara ukatuambia huyo no 2 na 12 wapi walipata elimu zao halafu no 6 KSIJ sio kampuni ni jumuiya ya KhojaShia Ithnashiria Jamaat
  9. S

    Msaada: Nimeibiwa milioni moja na laki nane na mtandao wa Tigo

    Hivi sasa tuko ktk ufatiliaji wa kuwakamata wale wote waliotumiwa hela kupitia cm bank na tuko ktk hatua nzuri.. Muhimu utoe muda wako ktk ufatiliaji ww mwemyewe
  10. S

    Msaada: Nimeibiwa milioni moja na laki nane na mtandao wa Tigo

    Naona wengi wanakupa majibu rahisi.. Kifupi baadhi ya wafanyakazi wa tigo wasio waaminifu hushirikiana na wezi wa mtandao kuiba miamala ya wateja..tarehe 19/2/2017 saa 11 jioni niliibiwa cm maeneo ya keko ilikuwa na salio la Tigo pesa 95,000 yote ilitolewa na nilikua natumia cm bank wwakatoa...
Back
Top Bottom