Recent content by SECRET AGENT

  1. SECRET AGENT

    Nahitaji website kwa 100k

    Hapo sasa kwa sababu bajeti yako ndogo inapigwa hivi: Domain ya .co.tz elf 25,000 Imebak 75k Kama ni domain ya .com inasajiliwa kwa offer ya Godady unapata kwa dolar 1.99 kwa mwaka wa kwanza huko mbele utajua mwenyew. Naingia blogger nacreate new blog. Kumbuka blogger ni free yan...
  2. SECRET AGENT

    Napataje Nafasi chuo Cha Elimu Maalumu Patandi

    Habari wadau kuna mdogo wangu amemaliza Form Six (HKL) matokeo yake ni DEE. Kwahiyo nimemshauri akasome Certifcate ya Elim Maalum Patandi hata kwa Kutumia cheti cha form four maana ana Div One. Naomba Mwongozo napataje nafasi chuo cha Patandi, au kama kuna wahusika hapa naweza pata contact...
  3. SECRET AGENT

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Mkuu kwahiyo kama nikiwa na mzigo wangu nahtaj kuusafirisha kutoka china kuja Tanzania tunaweza fanya kazi au unafanya na makampuni tu
  4. SECRET AGENT

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Mimi namchagua Annie . Ngoja namimi nitoe ushauri wangu . Carryn ni mwanamke ambaye atakubadilisha maisha yako huenda ukapiga hatua kifedha na ukawa mtu wa high class na sio wa kawaida Tena. Lakini Carryn Hana sifa za kuwa Mama Bora na mke Bora Kwa familia Yako. Carryn ni mwanamke ambaye...
  5. SECRET AGENT

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Michelle ameamua kumtumia Caryn Picha makusudi ili aumie kwa sababu Michele anajua BM unadate na Caryn na kiasi flani ana wivu kwan anahitaj sana kuwa close naww ila wew nae upo bize na Caryn.
  6. SECRET AGENT

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Utatupa mrejesho ukipokea mizigo mkuu
  7. SECRET AGENT

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Alibaba mara nyingi wanauza Wholesale so itategemea na muuzaji mwwnyew maana kuna wengine wanawake Minimum Quantity pc 10 au Pc 5 au hata Pc 100, na kuna Sellers wengine minimum quantity ni Pc 1 ya hyo bidhaa, Ila Ali Express wanauza kwa rejareja tu, so kwa bidhaa moja moja ni vema ukatumia...
  8. SECRET AGENT

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Hapana tumia Box number ya mkoa au wilaya, mzigo utakuja kwa address hiyo ukifika Posta watakucall uende kuchukua mzigo wako, Mfano morogoro Postal code yake ni 67,000
  9. SECRET AGENT

    Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    Nenda TAKUKURU point ya kwamba hauna ushahidi sio kweli wao watakausikiliza na wataanza kulichunguza hilo jambo, Kwani ukienda kumshtaki mtu Polisi mpaka uwe na ushahidi mkononi, sometimes wao ndo inatakiwa waanze kufanyia kazi malalamiko yako ili waprove kama ni kweli au laah
  10. SECRET AGENT

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    ukiingia tovuti ya TCRA wameweka Zip Code/ Postal code za kila eneo nchi nzima
  11. SECRET AGENT

    Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

    Kabisa mkuu kwenye lugha ya Kimombo uwe vizuri mno, na pia unapoedit article zako unaweza tumia site kama Grammarly kusaidia kuiweka sawa grammar ya article yako.
  12. SECRET AGENT

    Wazo la kuuza gesi ya kupikia kwa kiwango cha pesa uliyonayo

    Kuna mdau amesema wapo DSM ila sijajua hata hapo Dsm wanafahamika kila mahali
  13. SECRET AGENT

    Wazo la kuuza gesi ya kupikia kwa kiwango cha pesa uliyonayo

    umeongea point kubwa sana mkuu, hawa big fish wa makampun ya kuuza mitungi ya gas hii itakua kichomi sana kwao labda kama wao ndo washawishike kuinvest kwenye hii idea, means kwa mfano Orycx wauze hyo mitungi na pia wawe na sheli za gas pia
  14. SECRET AGENT

    Wazo la kuuza gesi ya kupikia kwa kiwango cha pesa uliyonayo

    Oky Mkuu, ni wazo linalohitaj investment kubwa mno ili kufika mikoa mbalimbali
  15. SECRET AGENT

    Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

    Tengeneza site yako, weka custom domain, weka vipengele muhim kama About page, Terms of use, Privacy Policies, Contact Page. Language: Adsense hawakubal lugha ya kiswahili hivyo the moment unaomba make sure 100% ya content yako ipo kiingereza au lugha ambao wao wanakubali. Copyright: andaa...
Back
Top Bottom