Recent content by SEBM

  1. S

    Prof. Kabudi ni mtu sahihi, amebobea katika ushauri, majadiliano na utetezi wa rasilimali za Taifa

    Kama Wakili Msomi, ulikuwa na haja ya kufanya personal attack kwa Wakili Mgaya? Yeye ni mtu wa kwanza kufeli akarudia na kufanikiwa? Je, unaweza ukatuambia Prof Kabudi - ambaye unasema unamfahamu sana - kama hakuwahi kufeli maishani mwake? Katika masomo yake? Kufeli mitihani ni kosa? Ni...
  2. S

    Ni nani aliyewapa vibali vya Business permit badala ya work permit Huawei-tiGO?

    Poleni sana kwa yaliyotokea hapo Tigo Huawei Project. Wakati ikiwa sina ni na dhamira ya kupinga ulichoandika, naomba nikupatie elimu na ufahamu juu ya mambo ya uhamiaji na vibali vya kufanya kazi. 1. Idara ya uhamiaji - kwenye mipaka au ofisi zao - hawatoi business visa. Hizi zilikuwa replaced...
  3. S

    Osaka Raha, Bukoba to Dar siyo gari la kupanda

    Bahati mbaya sana mtoa mada umetoa habari yako kwa ushabiki zaidi kuliko kuleta mada ili iweze kusaidia wasafiri; 1. Nilitegemea ungeweka namba za gari husika; maana ubaya wa Osaka Raha moja siyo ubaya wa Osaka Raha jingine 2. Umelalamika kutokupata fursa ya kuchimba dawa Kahama - Singida;je...
  4. S

    Mbunge Elibariki Kingu awasilisha barua kwa Katibu wa Bunge kuhusu posho "Sitting Allowance"

    Ndugu yangu, Naona umeamua kutafuta kick ya kisiasa. Maana umeanisha uzi zaid ya 4 ndani ya mauma mawili zote zikikupamba kweli kweli kuwa unafaa uwaziri na mambo kadha wa kadha. Haya unayoyadai leo ungeyadai Enzi uko Mzumbe University, au wakati uko FCC kama Afisa Utumishi ningeona kweli una...
  5. S

    Polisi wapiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mawazo

    Kwa hiyo na mikusanyiko yote Nyegezi, Buzuruga, Mwaloni, Iloganzala, Kirumba Sokoni, Makoroboi, Tanganyika Bus, Igoma Sokoni, Makanisani, Misikitini, Kamanga Ferry, Nyehunge Ferry, Busisi/kigogo ferry, Rock Bottom, Villa, Jembe nayo imepigwa marufuku? "Africa is a dark continent" -...
  6. S

    Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Manyerere, Mabadiliko ya kweli ni kutumia barabara kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma? Shame. Nikusaidie kukufahamisha tu ni kwamba; msafara huu wa magari mashangingi kutoka Dsm kwenda Dodoma ni gharama kuliko kutumia ndege/chopa. Kiusalama, time wastage, mafuta na maengenezo ya magari kutoka...
  7. S

    Deo Filikunjombe, Capt Slaa ni sababu nyingine ya kwanini sitaichagua CCM kabisa

    Meneja kampeni naye ni mchumia tumbo. Alimtumia dada yake ili kupata fursa na vyeo, unategemea nini?
  8. S

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Manyerere, come on mzee mwenzangu. You are better than this. Please! By the way, yule msafiri wetu hajafika bado? Maana Ndege ya mchana imeshatua kimya; labda tusubirie ile ya mwisho.BBM
  9. S

    CHADEMA yamuonya Nape kwa kauli yake kuwa CCM itaongoza nchi hata kama ni kwa kura za wizi

    Uko sahihi Kamanda. Tukisimamia zaburi 44 na 86, hakika tutashina ijapokuwa tunapita katika mateso
  10. S

    CHADEMA yamuonya Nape kwa kauli yake kuwa CCM itaongoza nchi hata kama ni kwa kura za wizi

    Mkuu wangu Molemo, Huyu bwaa amezoea kuiba. Aliiba ripoti ya utafiti wakati anasoma MPA pale Mzumbe. Huyu ni janga kabisa
  11. S

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA maeneo ya njoro, Moshi Mjini!

    Molemo Mkuu Molemo, Tunashukuru sana kwa uwepo wenu huko Moshi kutuwakilisha.Mwenyezi Mungu awabariki sana.
  12. S

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA maeneo ya njoro, Moshi Mjini!

    Binti, Criminal ni wewe ambaye umemaliza shule ya kata, ukataga, na sasa uko hapo Sewa Bar unajishughulisha na immoral na criminal acts
  13. S

    Dk. Slaa: Watanzania mwisho wa mateso ni Oktoba mwaka huu

    Hivi wewe mjaa laana, kati ya Dkt Slaa na Baba yako nani Babu? Kati ya Makene ya Baba yako nani mpiga ramli.na gagula? Maana aliingia BMK kupitia vigagula..
  14. S

    Dr. Slaa afunika mkutano wa hamasa wa kujiandikisha BVR, Momba -Mbeya

    Mkuu wangu, Hakika Mungu ana makusudio yake makuu ya sisi watanzania. Asante sana Dkt Slaa
Back
Top Bottom