Recent content by SebbyJ

  1. SebbyJ

    Wema: Kipindi cha in my shoes on air next week, diamond atakuwepo

    Tamthilia imeanza lini hiyo!? Jmn nimekufa nimeoza kwa wakorea!!!!
  2. SebbyJ

    Meninah amwanika Diamond tena, afunguka mengi kuhusu mahusiano yao, pia jinsi Wema alivyo mpapresha

    Hakina lolote kazi kubadili wanaume tuu.....mchezo wake maeneo ya makumbusho kinajifanya kinaingia saloon kikiwa kimeletwa na moja ya mabwana zake bwana akisepa tu kumbe anaappointment na bwana mwingine kinafuatwa muda huo huo hata dakika kumi hazifiki hata saloon hakuna tena!!!
  3. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Huna lolote ww......ndio wale wale! Mchana unajifanya decent, usiku mmejipanga mori ptuuuu!
  4. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Mtoto wa kiume muda wote kwenye umbea unatafuta nini!? Kama ushauri c umeisha toa! Labda kama unataka kutongozwa!!!!
  5. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Geniveros huna jipya humu.....ongeza comment kuonyesha jinsi gani mnamfagilia!!!!
  6. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Hongereni kwa kupata mahali pa kujifariji.....jinsi gani nyie wenyewe mnavyomfagilia Wema.....comment zinakaribia elfu moja....weka kajala uone.....Wema she is a rock star lol!!!!
  7. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Kazana mama......gono hilooo!!!!
  8. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    ....Ptuuuu!!!!
  9. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Nashangaa kila nikitoka naona naitwa kwenye hivi vijungu vyenu....kwahiyo maudhui ya jukwaa hili ni kukalia umbea....chagua topic za kuingia kijana! Mwanaume ambaye mwanzo mpaka mwisho anacomment kwenye umbea mmmh.....ful wasiwasi....keep it up!!!!
  10. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Mamaa wa vigodoro......mwanamke mdomo sumu, ptuuu!!!!
  11. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Watu hawashindani, they live the way they feel like.....hakuna kucopy.....iga ufe!!!!
  12. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Wewe yako c ndio inauzika! Mtaishia kutamani kila anaekuja bila kufikiri mwisho mnaishia wapi......waishia kukojolewa na kuingiziwa uchafu tu....utabaki hivyohivyo chuchunge!!!!
  13. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Baba ee....we shinda tu humu si ndio kazi uliyonayo, mwanaume mzima kukalia umbea! Kwanza nakaa kudiscuss mada na watu wasio husika.....ushauri hautolewi humu.....humu umbea tuu!!!!
  14. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    MKE WA MTU MWIZI WA MUME WA MTU!!! Hamuoni hata haya kuendelea kumuongelea huyo CK!? Mnamdhalilisha mwenzenu!!!!
  15. SebbyJ

    Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Mwanaume rijali unashinda humu kwenye vigodoro vya watoto wa kike! Narudia kusema.....WAJINGA NDIO WALIWAO!!!! Thanx for the advice.....na ww endelea kushoboka humu!!!!
Back
Top Bottom