Recent content by Seawhale

  1. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    F40.
  2. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Savanna F40.
  3. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    Ina jina kubwa tu, kumbe kwa majengo inaachwa mbali na Mtwara Tech.
  4. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Watu wa kule hata ungewapelekea samaki wa baharini wasingewaelewa.
  5. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Korosho.
  6. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Tesla Semi zinaanza delivery Week ijayo! Zina uwezo wa kusafiri Kilometa 800+ kwa umeme wa Laki 3, zikiwa na mzigo full (Tani 20+)

    Na matajiri wanaoziweka barabarani hizi Trucks za kichina si wajinga. Wao wanalielewa game vizuri.
  7. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Sakata la Jezi za Taifa Stars: Nani Aliruhusu Nini kati ya Makonda, Mwana FA, TFF na Sandaland?

    Hawa kitambo tu haziendi. Uzuri Mwana FA hana unyonge kwa Makonda.
  8. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Msaada Bei ya tanker la mafuta ni shingap

    Hapo Offshore Seamen ndiyo eneo lake.
  9. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Msaada Bei ya tanker la mafuta ni shingap

    Offshore Seamen
  10. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Migodini Kuna Trucks zina hadi engine ya cc 90,000 na ni kubwa kiasi kwamba wewe na urefu wako haufiki katikati ya tyre.

    Kimo cha injini yake ni roughly hiko kimo cha eneo la rejeta hapo mbele, kuna sehemu ya kukaa operator. Baada ya kulifanya liwe refu kutoka mbele hadi nyuma lenyewe limefanywa liwe pana huku katikati yake ndipo panapokaa mzigo mwingi. Kihandisi, hivyo lilivyo linaendana na ukubwa wa injini...
  11. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Marekani Wamekiri wenyewe wameshindwa kufungua Hormz

    Hakuna mwenye shida na Iran zaidi ya US na Israel.
  12. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Kuna ubaya ukipunguza kipenyo cha mbao za dari ya kibarazani kiasi cha mtu kuweza kupenya?.
  13. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Migodini Kuna Trucks zina hadi engine ya cc 90,000 na ni kubwa kiasi kwamba wewe na urefu wako haufiki katikati ya tyre.

    Piga hesabu, ni horsepower ya ngapi inahitajika kukokota kifusi kutoka mita zaidi ya 100 chini ya ardhi kuja juu ndiyo utapata jibu la kwanini limekuwa kubwa hivyo.
  14. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Migodini Kuna Trucks zina hadi engine ya cc 90,000 na ni kubwa kiasi kwamba wewe na urefu wako haufiki katikati ya tyre.

    Siku zote nakuonaga upo smart sana zaidi ya madereva tuliowazoea, kumbe CV yako yenyewe si hana.
Back
Top Bottom