RUSWA IPO KWELI
Mimi nilibadilisha na mtu yeye akahamia huku niliko tangu 2018, mimi jina langu halikutoka, nimepeleka nakala kwa KATIBU TAWALA mara 2, Kwa KATIBU MKUU TAMISEMI mara 2, ila hakuna kinachoendelea,, lakini wenye connection wanahama kila siku, tena bila hata kubadilishana na mtu...