Recent content by seanhenrick

  1. seanhenrick

    Conte bado kumshindwa wenger

    Bado conte anafail kumfunga wenger kamafunga Mara moja pekee yeye ameshapigwa mechi kibao fa cup final,community shield, carabao cup na EPL Fans wa Chelsea musitegemee kufumnga arsenal chini ya huyo mzee
  2. seanhenrick

    Million 1000 kwa kinondoni pekee

    Hivi inaashilia nini kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa wakati watoto wa shule hawana mahala pa kusomea namaanisha majengo ya madarasa nakadhalika
  3. seanhenrick

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Sio kweli wapo wenye mapenzi ya kweli
Back
Top Bottom