Ila humu jukwaani sasa wazushi ni wengi mno... tulianza vema ambapo ukisikia jambo lazima uingie humu upate uhakika.. lakini siyo sasa ambapo uzushi unaanzia humu... very sad!!!
Kuhusu kupata mkopo sio kuhusu chuo... bali ni masomo gani yanayopewa kipaumbele kupewa mikopo... hivyo nakushauri fanya follow up na HESLB ujue kwa undani kabla ya application yako
watu wengine wanavyo argue inakera sana...walioharibu kura kina nani eti lyatonga lusinde (mind kura zilikuwa ni siri) sijui nani! mbona hamfikirii wale ambao walitaka tena kwa nia kabisa kususia uchaguzi huo ndani ya bunge lenyewe kuwa ndio wasie 1st suspect wa kuharibu kura na tumewasikia humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.