Kwa kweli ni ngumu,,,na huo ugumu ndio unasababisha malipo yao kuwa mazuri
Mfano,hii case ya Robertinho kuvunjiwa mkataba atakuwa amevuta mkwanja wa maana,,na ndani ya miezi michache tu atakuwa ameshapata timu nyingine
All in all,, wenyewe wanasema " Coaches are hired to be fired"