Recent content by SDG KHOI

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa CHADEMA Muheza umepamba moto kata hadi kaka,kijiji kwa kijiji na kitongoji kwa kitongoji

    KWA MOTO NILIOUSHUDIA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI-2013. HAKIKA MUHEZA INAWEZA KUJINYAKULIA HISTORIA PEKEE YA KUWA WILAYA YA KWANZA MKOANI TANGA KUMTOA KIONGOZI WA KWANZA WA JUU KATIKA CDM.ESPECIARY DIWANI/MBUNGE. MUNGU WABARIKI MAKAMANDA HAO. EEEEEIIIMEEEEE:flypig:
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) kumjibu Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi

    Nimechoka na tamko hilo halafu tamko dhaifu hilo linatufanya tuonekane wanyonge kweli. kukubali aliyetumwa majina hakufikisha kabisa ingekuwa busara za kuongozwa na roho. Lakini kupindisha maandiko kuwa serikali ni baba yao haki ya kweli wakati wenu utafika. pengine haya makanisa wengi wakimbizi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    UJINGA NI MARADHI .... Julius Kambarage Nyerere
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Malecela atoa tamko - Amuunga mkono Paul Makonda

    Siasa za mbeleko
  5. S

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Bila shaka imani juu ya mahakama imekwisha.Tunarudi kwa STATE OF NATURE:tinfoil3:
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la CCM kufuatia mgogoro wa madiwani Bukoba (kuhusu utaratibu)

    Kujaaamba kingi kuondoka na mavi maccm yataondoka na vyote kinyesi na mkojo-214/15.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    Mwaka 2005 mh.Freeman Ikael Mbowe alitangaza CCM kuwa janga la Taifa. Ni kauli alipenda kuitoa katika mikutano mbalimbali nchini wakati wa kipindi cha kampeni za kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA chama cha wanyonge. Kwa wana JF hapa la kushirikishana ni hili, Mosi je suala linapotajwa kuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa NCCR Kutoka Mkoa wa Kigoma kuunguna na wanaukombozi leo - Bungeni kuwaka Moto

    Ifanyikaje sasa kwa kuandamana bungeni au? any way tusubiri tuone! Mbatia wee Kafulila umemsahau!!!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Njoo uone raia wenzake huku lushoto! Mwanaizaya mkubwa kazoza mvuke tu!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tawi CDM wang¡®oa vibaraka wa magamba.

    Tawi la CHASO chuo kikuu cha Tumaini Tanga jana jioni katika kikao serious walimtoa madarakani katibu wao mwenezi baada ya kuingia mkataba na ccm kuhakikisha analizorotesha tawi hilo. Tazama tangu awepo madarakani hatuna kabisa vikao! ¡° hata hiki kikao kimeombwa na wadau¡° walisema wajumbe...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Siri za fujo za Mtwara hizi hapa: Ngwilizi afunguka

    Hizi nchi za Afrika prof. katika siasa! nani ataandika injili ya wokovu?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

    Ule mpango wa kuwa mashoga ndo tupate misaada ulififia nini!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Safari, Marando, Lema, Zitto kuwasha moto Bagamoyo leo jioni!

    Philosophy kali ¡°nguvu ya umma¡° akijitoa mmoja! Mia saba ndani.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya CCM Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwakani

    WaTZ sisi nyenzo ni UCHAGUZI taratibu zake zikibakwa hivyo inavyoandaliwa watatujua! Tuko kimya kwa vile muda wa kuchinja umewadia. Other wise...or!!!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema asambaratisha CCM Monduli

    Kula na kipofu usimguse mkono! Edward kazi hiyo sasa kasawazishe.
Back
Top Bottom