Recent content by Scovyboo

  1. S

    Wapi linapatikana soko la chia seed kwa hapa Dar na mikoani

    Habari zenu wadau natafta soko la mbegu za chia na bei zake, mwenye kujua wanaponunua kwa bei ya Jumla,mimi nipo Dar,asanteni
  2. S

    Imagine ni wewe sasa,ungefanya nini.?

    Kama kijana nimeamua kuja huku ,tupeane ujuzi na ushauri,kuna MTU yuko tayari kunipa mtaji wa biashara,kuanzia 1m kushuka chini,je ungekuwa ndo ww ungefanya bizness IPI yenye mzunguko mzuri wa fedha kwa karne hii ya magu.Mimi npo dar .karibuni kuchangia wadau
  3. S

    Mtaalamu wa kutengeneza sabuni za kigoma/gwanji anahitajika

    Kama ni mjuzi Wa kutengeneza sabuni za miche za gwanji au kigoma njoo pm,uwe dar umri wowote jinsia yoyote ilimradi uwe unajua kutengeneza sabuni kwa kiwango kizuri
  4. S

    Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    yes ndo huo huo .
  5. S

    Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    nimekuwa nikisumbuliwa na Huu ugonjwa Wa ngozi ,natokewa kama vibarango/utango tango /kama mba hivi hasa mikononi mpka umefika na usoni,nikipauka kidogo tu unaonekana,nipake nn jman au nitumie dawa gan uishe?
  6. S

    Natafuta kazi/kibarua

    Kuna mwarabu koko pale kariakoo,ana gawa Nafasiza kazi imaraseco.mcheck bas
  7. S

    Nahitaji kujua wapi nitapata mabelo ya mikoba mtumba nje ya Tanzania Kwa bei ya chini

    wadau ,nafanya biashara ya mikoba ya mtumba yaan pochi za kike mix na mabegi ya shule hapa dar.nahitaji kujua wap ntapata mabelo ya mikoba mtumba nje ya Tanzania Kwa bei ya chini tofauti na ya ya huku(Tanzania).Kwa anaejua MTU au kampuni nayoweza agiza na mzigo ukafika salama,anielekeze .shukrani
  8. S

    Natafuta kazi/kibarua

    Msenge ni ww mchambia kokoto usokua na haya fala sana ww,kama hujui kitu tuliza mkundu wako,au unashirikiana na huyo mwizi mwenzio?
  9. S

    Vibarua wanahitajilka Dar es salaam

    Sh duh,shoe shine hii ya viatu au nimeelewa tofauti
  10. S

    Natafuta kazi/kibarua

    Write your reply...Huu jamaa bwana alikuja humu ya Uzi Wa nafasi za kazi imalaseco supermakert ,kumbe wizi tuu ,akawa anashirikiana na mwarabu koko wake wa kariakoo et form ya kupata kazi ni laki,nilimwangalia yule mwarabu nusu nimpasue ubongo Ila basi next time atanyea debe central.na nyie...
  11. S

    Natafuta kazi/kibarua

    we jamaa nimekwambia tulia ,usirulie gari mbele ,unatetea unamjua ww?hyo thread ya imalaseko kama hukuiona tulia,cna mda mchafu wa kuitafta,waliyoiona wanaelewa kwamba huyu jamaa ni tapeli tu
  12. S

    Natafuta kazi/kibarua

    Ww tulia ,nikisema ni tapeli namaanisha,alijarbu kuniblock baada ya kumshtukia ,afu unakuja kutetea vtu hujui.tapeli huyu baadhi washamjua
  13. S

    Natafuta kazi/kibarua

    ww si ndo uliweka tangazo LA imaraseco?nijibu kwanza.afu sio mm tu nnae kushutum kitafakali na yule mwarabu koko wako ,MPE salam zangu .
Back
Top Bottom