Recent content by scorptag

  1. scorptag

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Kwa punda/kondoo udi ruksa kujifukiza au kuuweka shm yako ya biashara?
  2. scorptag

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Duuuhh, asante.je inaweza kuwa dawa ya kutibu/kusaidia nn?
  3. scorptag

    Kufahamu mambo yako hapa: Ramli ya kutizama mambo unayotaka

    Rakims,naomba no ya kurusha pesa nataka unichekie mlango wa 2 na 12,pia mlango upi unatakiwa uniangalizie ili nijue jinsi ya kushinda betting?nyota yangu ni punda Kwa ndoo
  4. scorptag

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Rakims nina swali khs mafusho Kwa Mimi punda/kondoo..nimepata Qist ya mizizi je inaruhusiwa 1.kuitafuna ? 2.kuioga Kwa kuchanganya na maji rose baada ya kuisaga inaruhusiwa? Kuhusu udi Kwa nyota yangu naruhusiwa kuutumia? Natanguliza shukran
  5. scorptag

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Rakim ubarikiwe nimesoma khs punda kweli ni mm,napitia kulee kwny somo la malango 12 then nikusumbue khs kubet na life in general.vigezo na masharti ya uzi wa malango nitavifuata#shaka ondoa
  6. scorptag

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Rakim,tunatakiwa kukupa jina tunalotumia maishani au lakupewa wkt unazaliwa?
  7. scorptag

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    naomba maelekezo mkuu
  8. scorptag

    Joint project ya kilimo

    0755281917
  9. scorptag

    Msaada wa mawazo: Nifanyeje kumrudisha nyumbani (TZ) mzamiaji aliyepo Afrika Kusini?

    Na hilo ndio tatizo,ndio maana hawataki kurudi Nyumbani wanaona aibu
  10. scorptag

    Msaada wa mawazo: Nifanyeje kumrudisha nyumbani (TZ) mzamiaji aliyepo Afrika Kusini?

    Unaweza kumuuliza unamjua captain allan Alikuwa Anakaa kwa star wkt Anasoma? maana wengi wananifaham huko Ila akupe jina la tolii analo tumia huko
  11. scorptag

    Msaada wa mawazo: Nifanyeje kumrudisha nyumbani (TZ) mzamiaji aliyepo Afrika Kusini?

    Naweza nikakusaidia,nataka nimjue Ili nikupe details zake kwanza,kule maisha ni magumu anaweza kukwambia nataka kurudi Kumbe shida yake ni hiyo pesa aitafune,mm nikituo Changu cha kazi Huwa Nakaa mwezi then Narudi wiki 2 kupumzika pia nilisoma huko 1999 Kwahiyo kidogo nawafaham
  12. scorptag

    Msaada wa mawazo: Nifanyeje kumrudisha nyumbani (TZ) mzamiaji aliyepo Afrika Kusini?

    Anaitwa nani kama yupo durban?durban shm gani?Naweza kukusaidia. Kumrudisha?
Back
Top Bottom