Recent content by Scoobyvelli

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

    Ajabu Team Nyingi ila Ligi Hatuioni..... Usengerema wa nyie mabongofleva bwana!!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

    Huyu jamaa ni whacky... Nasikia alishapokeaga Mil.100 Jimboni kwake Kibaha alipokua anagombania Ubunge na raia walimpa kwa mapenzi;badala yake akapokea Rushwa ili matokeao yabadilishe ampe ubunge mpinzani wake.. Hana Demokrasia!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

    Hapana kila mtu na mtoko wake;kwa mfano mi sijaanza kubeba begi mgongoni juzi...hapana;coz napenda kusoma basi najibebeaga novel ambayo nakua nasoma kipindi icho na vitu kama charger n.k
Back
Top Bottom