Recent content by scofield550

  1. S

    JamiiForums Tanzania Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

    Katika wanahabari nina wakubali badra yupo top 5
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Wazo la kuanzisha shule za kata lilikuwa zuri hata mimi nalipongeza ila kuna mambo ambayo yalishindwa kusimamiwa kwa ufasaha cjui ali create hii Idea alikufa? Alafu wazo lake likabaki likielea au alikuwa Lowassa alipoondoka kukawa hakuna muendelezaji wa wazo lile zuri mimi binafsi nimekombolewa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Gongo la Mboto

    Katibu wetu nimekubamba
  4. S

    JamiiForums Tanzania Eti Makonda kugombea Ubunge jimbo la Ubungo!

    CCM kuna viongozi wachapakazi na waaminifu Ila hata cjui Makonda Ana kigezo gani kuwa kiongozi Mkubwa wa UVCCM >hajui kutetea hoja anayoiongelea > Ni mpiga kelele zisizo na maslahi >Hana passion ya uongozi hata kidogo labda uongozi wa familia yake >Mi ningemshauri atumie taaaluma yake...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yule aliyetangaza anauza server mteja kapatikana

    Nimeku PM haujanijibu mteja anasumbua tuwasiliane mkuu 0654 996561
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kama kijana hujaaajiriwa pita hapa

    Also in 0654 996561
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Diamond na Mshindi wa BBA Idris

    Mama watoto! huwezi kuvaa yale mavazi alafu chini ukavaa NDULA lazima uvae sendo USIKIREMU!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wahisani wafurahishwa na hotuba ya Kikwete

    Hao wahisani aliyewatafsili hiyo hotuba aliwatafsilia tofauti na ile hotuba ya rais aliwaambia rais katimua wote hadi waziri mkuu Wale jamaa wanategemea kutafsiliwa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Diamond na Mshindi wa BBA Idris

    Kweli wabara kina Werema, Chenge, Mama tibaijuka , Ngeleja wanapenda sana maendeleo ya Nchi hata mimi nime realize!!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Diamond na Mshindi wa BBA Idris

    Sio kanzu mrembo ni yale mavazi ya kinigeria mamito!! Uislam umeingiaje hapa mama watoto?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Rais kasema fedha sio za umma ni za IPTL
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Amesema amefurahi wakurugenzi kufukuzwa kazi na anamuunga mkono hajjat Hawa Ghasia
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa Wapya DSM

    Ninashida na hicho ki'ngamuzi tu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Back up system ya Umeme

    Ni pm nikuunganishe na fundi
Back
Top Bottom