Recent content by Scofied

  1. Scofied

    JamiiForums Tanzania Msaada-Toyota Crown athlete 2006 Power steering issue!

    nimejaribu kugoogle naona kama zinatumia zote mkuu
  2. Scofied

    JamiiForums Tanzania Msaada-Toyota Crown athlete 2006 Power steering issue!

    Nishaedit mkuu…..naomba ushauri wako sasa!
  3. Scofied

    JamiiForums Tanzania Msaada-Toyota Crown athlete 2006 Power steering issue!

    Wakuu heshima kwenu Tatizo la steering kukaza baada ya taa za power steering kuwaka limekuwa la kujirudi sana kwenye gar yang. wale jamaa wa kupima walipima wakaona kuna fault kwnye wire wanakaza inakaa frsh baada ya mda inarudia tena…msaada kwa mwenye wa fundi mzur anaeweza nisaidia wakuu...
  4. Scofied

    JamiiForums Tanzania TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    karibu ofisin mkuu..hakuna linaloshindikana!
  5. Scofied

    JamiiForums Tanzania TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    tv aina zote zinapatikana mkuu...kuanzia 21inches hadi 75inches....karibu dukani boss
  6. Scofied

    JamiiForums Tanzania TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    azizidi dakika tatu mkuu.karibu!
  7. Scofied

    JamiiForums Tanzania TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    Tunapatikana Arusha makao mapya mkuu...Zilipo ofisi ya Marangu Coach boss...karibu snaa!
  8. Scofied

    JamiiForums Tanzania TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    Tunapatikana Arusha mjini,makao mapya Area palipo stand za Marangu Coach bus mkuu.karibu sana
  9. Scofied

    JamiiForums Tanzania TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    sipo kwa mrombo mkuu...ofisi ipo makao mapya zinapopatikana office za Marangu coach bus...karibu!
  10. Scofied

    JamiiForums Tanzania TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    nimeka number hapo mkuu
  11. Scofied

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    .....
  12. Scofied

    JamiiForums Tanzania Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    ..:::
  13. Scofied

    JamiiForums Tanzania TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    Wakuu heshima kwenu..Tunauza tV za aina zote kwa bei poa sana...tunapatikana Arusha town hapa...kwa mahitaji yeyote nicheki kwa 0765360814 watsup na call kawaida .Karibuni sana.
  14. Scofied

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu Kuchaguliwa chuoni

    Kuna namna yeyote naweza wasiliana na nacte wazee..hata kwa number ya simu? Nisaidiwe number yao ya simu niwapigie kujua moja please!
  15. Scofied

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu Kuchaguliwa chuoni

    Heshima kwenu wakuu...dogo langu aliapply chuo cha uhasibu Arusha njiro ngazi ya cheti kwenye IT...kwenye kuripoti ikaonekna chuo walisahau kuingiza jina lake wakati wanatuma majina tamiseni... Sasa ni week ofisi ya usajili inaniambia kuna shida ya network saver ya Tamiseni so wanshindwa...
Back
Top Bottom