Habari zenu wakuu,
Mimi nina swali kuhusu ardhi, mimi ni diaspora lakini kwa sasa nipo kwenye mchakato wa kutafta kiwanja ili nijenge kibanda changu, lkn swali langu ni diaspora wanaruhusiwa kumiliki ardhi ama ndo maujanja maujanja 2.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahanini wakuu wa umu ndani naombeni mnisaidie kujua maana ya hii ndoto,
Nimeota nipo nyuma ya bibi ambaye alikuwa ni mzee na tulikuwa tunapanda kama ngazi ivi (sikumbuki vizuri) lkn yule bibi alikuwa anatembea kidoge sana mpaka nikaamua kuchukua njia nyingine ili niendelee na safaril yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.