Recent content by schwan

  1. schwan

    JamiiForums Tanzania Mimi najutia kwa orodha hii ya wapenzi, wewe je?

    Acha ujinga wako mie kwa mwaka 2009 tu niligegedua 132 na sikurudia we 14 tu unasikitika kutenda zambi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji90][emoji1534][emoji1534][emoji1534]
  2. schwan

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

    Bongo hamna maprofesa wanaandika thesis zao wenye wanazikana wenye 1st shivji nimechanilia mbali likitabu lake LA constitutional law
  3. schwan

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

    Hata wanafunzi wa shivji tunajuta
  4. schwan

    JamiiForums Tanzania Hati ya muungano ilikuwepo Ikulu. Sasa kwanini AG alielekeza ifuatwe UN??

    Hamna hati hapo waitoe waone kama hatujatengana miaka 10 ya muungano/ulinzi na ushirikiano imekuwa 50
  5. schwan

    JamiiForums Tanzania Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    Walete hiyo hati bungeni waone kama muungano utakuwepo, kumbukeni muungano ulikuwa wa wa miaka 10 tu ila hadi Leo haujafanyiwa marekebisho waulete bungeni waone patakavyo chimbika
  6. schwan

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Wamedhihirisha kuwa ni Nchi

    Elimu yetu yenye majanga, siumeona Prof. Anafundisha vingine anatoa maoni tofauti !!! Umoja hapo kabisa
  7. schwan

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

    Subiri uona kama watajizalilisha, kama sio fani yako kaa pembeni yeye pinda hapa alipo jasho we unalopoka!
  8. schwan

    JamiiForums Tanzania Siri ya Dr.Slaa na Dr.Ayub Rioba kuwa na msimamo sawa kuhusu Amani

    Huwezi kuwezi kuwa njaa amani ikawepo, huwezi kosa haki amani ikawepo kwa Tanzania hamna amani kwani kila kona ya nchi ni dhuluma, rushwa na manyanyaso ukitaka kuona hayo angalia barabaani jinsi jinsi watawala(trafiki) wanavyogawana dala dala utafikiri wanazimiliki wao nenda hospitali usipokuwa...
Back
Top Bottom