Recent content by Schrodinger Cat

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi za HESLB ziko wapi?

    Ndugu wanajamvi, napenda kuwajulisha kuwa nilifanikiwa, nilienda pale Mwenge na kukutana na wahusika na shida yangu kutatuliwa. Hivyo wote waliokuwa wakitatizwa kwamba ofisi zipo Mwenge au Msasani mtakua mmefaidika na uzi huu. Shukrani kwenu nyote.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi za HESLB ziko wapi?

    Wanajamvi nashukuru kwa mchango wenu, nitajaribu kupatafuta hapo vinyago. Asanteni sana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi za HESLB ziko wapi?

    Wanajamvi heshima kwenu. Nia ya kuanzisha thread yangu ni kutaka kujua zilipo ofisi za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi. Ninalo tatizo nyeti ambalo utatuzi wake ni kupata ufafanuzi kutoka kwao, Nashukuru kwa kusoma thread hii na natumaini msaada wenu. Asante.
  4. S

    JamiiForums Tanzania vocha for internet tunnel

    Mzalendo nimeku-PM
  5. S

    JamiiForums Tanzania Looking for my better half

    Wapendwa wanajamvi bado nafasi ipo wazi kwa maana kwamba nia bado kutimia. Aliye serious tuwasiliane kupitia paul_frank1981@yahoo.com Asanteni.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-download papers/vitabu n.k

    Mzalendo, nimepewa nambari 1) peke yake. Nambari 2)-6) bado.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-download papers/vitabu n.k

    Wazalendo bado nasubiri msaada wenu. Asanteni.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-download papers/vitabu n.k

    Asante Mzalendo..Pamojah sana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-download papers/vitabu n.k

    Asante mzalendo. Bado sijaona ninachokihitaji huko.
  10. S

  11. S

  12. S

    Mzalendo mimi ni mtafiti.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-download papers/vitabu n.k

    Asante mzalendo, nimeiona. Thanks.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-download papers/vitabu n.k

    Mzalendo tazama PM yako. Nasubiri wenye access watanipa msaada kwenye zilizobaki. Asante
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-download papers/vitabu n.k

    Asante mzalendo. Nakutumainia.
Back
Top Bottom