T - pesa ni changamoto unajikuta unatoa hela ukiweka namba ya siri inaandika time out ukipiga huduma kwa wateja unaambiwa muamala hujaenda unaambiwa toa tena napo inakua vile vile mwisho wasiku unaamua kuhailisha ndo unaona text zinakuja nyingi za miamala uliyo fanya unajikuta umetoa pesa zaidi...
Habari wana Jf,
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Nimetembelea tarime mjini na vijijini kwa muda sasa lakini nimestaajabishwa kuona kila hotel kubwa au ndogo ya mjini au vijijini.
Unapokua umeagiza msosi unaletewa kwenye sahani za plastic mwanzo niliona kama kitu cha kawaida...
Mzee unaonekana hupafaham Musoma me nimezaliwa Musoma na ninaishi Musoma na nimezungumzia Musoma mjini sijazungumzia mkoa wa mara huenda unaongea vitu usivyo vijua me nimezungumzia wilaya ya Musoma mjini
Ndipo Kuna hii tabia iliyojitokeza sasaiv na ukimuuliza mtu yoyote anaishi Musoma...
Sio mara ya kwanza me kwenda pale mkuu kila ijumaa nikipata nafasi hua naenda na sijaongelea vijana wote ila ni baadhi ya vijana wenye tabia hii na kutokana na tabia hii watu wameanza kupakimbia pale na wanaenda ADAVI me na rafiki zangu wengi sasaiv wamehamia uko kwasababu hawataki usumbufu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.