Recent content by Schola Massawe

  1. S

    Tanzania language policy and planning in education

    Thanks for your comment! I'd be happy to be assisted by you. Can you tell me which platform you have in mind? I'm all ears and ready to find the right one!
  2. S

    Mtaala Mpya wa Elimu ya Msingi uko Tayari. Wizara ya Elimu mbona haitaji Lugha rasmi ya kujifunzia?

    Jamani kuna utofauti mkubwa sana Kati ya kujifunza kwa kingereza na kujifunza kingereza. Niwazi kuwa kutumia lugha kufundishia haisababishi kujua hiyo lugha kwani hata kiswahili chenyewe watoto wanajua kuongea tu ila kujieleza Ni shida. Nafikiri msisitizo uwepo jinsi ya kufundisha lugha ya...
  3. S

    Maeneo 9 yaliyoguswa na Sera Mpya ya Elimu Tanzania

    Ndio ushangae swala la lugha ya kufundishia halipewagi kipaumbele kabisa. Infact tunapaswa kuwa na sera ya lugha peke ake. Yenye malengo na madhumuni yake. Ila sasa nikama vile hili swala halina maana sana wakati ndo linabeba mustakabadhi mzima wa elimu
  4. S

    Sera ya lugha Tanzania

    Wadau mliosoma uwalimu Haswa walimu wa lugha kwa level zote diploma na degree. Kuna yoyote anayekumbuka kujifunza juu ya sera ya lugha ya Tanzania. Katika kozi ulizosoma chuo je kunakozi yoyote iliyokufundisha kutambua sera ya lugha ya Tanzania na malengo yake. Kama walimu watarajiwa...
  5. S

    Tanzania language policy and planning in education

    I'd like to open a discussion on this platform regarding Tanzania's language policy and educational planning. Has any of you encountered topics related to Tanzania's language policy in your teacher's college or teacher's course? I recall primarily studying English teaching methods, but I'm...
Back
Top Bottom