Recent content by schlumberger

  1. S

    Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

    KWA HAKIKA KWA MRADI HUO MAMA AMETUSHINDISHA!
  2. S

    Hayati Magufuli alikuwa na uelewa mdogo wa masuala ya dini, asilaumiwe

    umeeleza vizuri. Nadhani hata baniani ataanza kuzika badala ya kuchoma wafu
  3. S

    Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

    Kawaulize wakazi wa Kigamboni nafuu waliyopata baada ya daraja kwanza kutumika.
  4. S

    Magufuli alifariki miezi 3 iliyopita lakini unaweza kudhani alifariki kabla ya Nyerere

    Legacy haiandikwi. Hujiandika! Binafsi nilimtoa kasoro JPM kwa kutomchagua hata mtoto mmoja wa Nyerere kwenye Ubunge au hata kumpa ubunge wa kuteuliwa mtoto wa Nyerere na uwezo alikuwa nao japo alijidai kufuata nyendo za baba wa Taifa. Mama kathubutu na Wala hajidai ufuasi.
  5. S

    Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    Chuki mara zote hupofusha akili. Msomi akaonekana mjinga. Mtu mwenye hekima hujipa muda wa kutafakari, akayaona mawazo ya mwenzio na kujenga hoja madhubuti. Kisha kabla ya ku-post akarejea alichokiandika akajiridhisha na kutuma.
  6. S

    Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    If you see an iceberg you only see 10% forgetting 90% below the surface of the ocean. i have known the late for the past 15yrs. only few have been said. NB: Kukosekana kwa ufasaha katika maneno yako kunakupunguzia credibility ya kuona mambo (vision) katikati ya mistari.Poole sana!
  7. S

    Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    The best i know ni kuwa Ali aliamua kuifunga Kampuni ya kuuza ving'amuzi vya ZUKU kwa kuhujumiwa na wazawa.
  8. S

    Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    If you see an iceberg you only see 10% forgetting 90% below the surface of the ocean. i have known the late for the past 15yrs. only few have been said,
  9. S

    Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    Sikujua Kama Ali alikuwa Engineer. Leo ndio nimefahamu hilo. Niseme tu machache: HE DECIDED TO RUN IN THE COOLEST kama alivyomshauri CAG. Mwezi April aliniomba nimsaidie kutafuta Diesel Generator ya KVA 6 kwa ajili ya mradi wake mpya Kigamboni. Nikamshauri generator nzuri kama muhandisi na...
  10. S

    Rais Magufuli kuwachukilia hatua Viongozi wa mikoa na wilaya watakaofanya vibaya katika kuandikisha wapiga kura Serikali za Mitaa

    Hivi Chama Cha ACT Wazalendo kimeshatoka kifungoni?? Sijasikia Kauli ya msajili wa vyama. hivyo sijiandikishi kwa kweli. Bora CC iendelee kuongoza nchi. Sijakosea namaanisha CC.
  11. S

    Chama cha ACT Wazalendo chaboresha safu ya uongozi

    Hongereni ACT Wazalendo. Kimekuwa Chama Cha Kitaifa. Tupo nyuma!
Back
Top Bottom