Recent content by SCHIZOPHRENIA

  1. S

    Jinsi ya kuendesha mradi wa sh 30 milioni

    Naomba msaada nitafanya mradi gani ambao unaweza kuwasaidia watanzania wachache wanaopenda ujasiriamali na biashara na nina sh 30 milioni. Naomba msaada wa maelezo a kutosha juu ya hilo.
  2. S

    Natafuta Kazi ya Part Time

    Msaada natafuta kazi na nina eimu ya kidato cha sita!
  3. S

    naomba msaada anayeweza kunitumia vitabu vya industrial electronics

    ndugu anaeweza kunisaidia vitabu vya electrical and electronics engineering modules; 1.industrial electronics 2.electrical installation 3.electrical instrumentation- e-mail yangu andrewkwana@gmail.com
  4. S

    Microsoft office

    Waungwana nashida nataka ni install microsoft office kwenye computer mtanisaidiaje?
Back
Top Bottom