Kwanza hakuna utaratibu wa kwenda tra siku hizi mimi nimetoka renew miezi mitatu iliyopita unajaza moja kwa moja online na kuchagua mkoa ambao utakwenda chukua hiyo liseni. Pili utatumiwa ujumbe lini ukachukue pale ulipochagua. Hakuna mambo ya kwenda ofisini kujaza fomu wala nini. Inaonyesha...
Inaonekana wewe ni mtumishi huyo meneja kakubana huo mzigo ulitaka rushwa kakushtukia ulitaka bambikia mlipakodi meneja kakuwasha sasa unakuja huku leta kelele. kama kweli lete ushahidi siyo tishia nyau eti asipojirekebisha. hii inaitwa majungu na hapo ninauhakika huyo meneja kakubana huna...
Azam bado sana kwanza watangazaji wake asilimia kubwa wapo kishabiki halafu vifurushi vyake havilelewi ukilala ukiamka vinabadilika kila mara. Watatuletea Othman Kazi ambaye anaona anafahamu kila kitu cha urefa husu alikimbizwa. Azam wabaki hivi hivi na tamthilia tumezipenda ila kwenye mpira wa...
Yaani ulichozungumza ni kweli kero sana ni kama kumfatilia mtu ratiba zake na kumjua zaidi. Hasa hilo la kuwauliza unakwenda wapi naye anakugeuzia wewe kwani unaenda wapi ntashuka huko huko. Hapo ukute pengine ulishapanga na staff wa kike ili uzungumze naye na kakubali ndiyo unakuta watu...
Da mkuu umegusa mfupa aisee. Yaani unakumbuka marafiki ambao wakati huo hakuna ajuaye kesho yake wakati huo maisha yalikuwa ya kawaida tu pengine hapo mmetoka kucheza mpira mnapiga stori mbili tatu. Inaumiza sana japo ni kweli duniani ni njia tu sote tunapita. Bora ukute waliozamia nje afadhali...
Ni sheria ndiyo inayoelekeza TRA kukusanya hiyo pesa kwa sababu hata kama mtu kafukuzwa kazi alicholipwa ni ni haki yake kwa maana mshahara wake. Na sihivo tu hata pension kwa sasa ukipokea mshahara haikwatwi kodi wanachukua mshahara toa pension kinachobaki kinakatwa kodi. Mwisho ukija chukua...
sasa kwani ungesema ni afisa wa tra mpaka useme anakitambi. da acha kumdhalilisha huyo baba wa watu. isitoshe mbona barua yako inaonyesha ni JIJI . Yaani hata kusoma uone ni jiji nalo ni tatizo. Mgambo wamekuvuruga si bure wewe
mbona hueleweki maana unasema mizigo haina manifest kwani nani anayetoa manifest hebu tusaidie navyojua siyo tra kwani wao ndiyo waleta mizigo? halafu hujasema wamecheleweshaje nilidhani wamegoma kukupa huduma hebu fafanua vizuri. Mbona bandarini tunatoa mizgo na mfumo ni huo huo? hapa agent...
Kwanza unatakiwa utambue uwanja wa ndege unahitaji eneo kubwa la kutosha kwa ajili ya barabara ya kurukia na kupaki ndege.
Iisitoshe uwanja ulijengwa na wazungu enzi hizo Tanganyika haijapata uhuru hivo baada ya Uhuru Mwl Nyerere alikuja ongeza terminal 2 kwa kuwa tayari barabara ya kurukia...
Nichukue fursa hii kwako Waziri Ulega kwa kulichukulia hili jambo kwa uharaka na hatimaye eneo moja Kigamboni limekamilika baada ya ziara yako. Ntakuwa mtovu wa fadhila bila kukushukuru kwa kusikia kilio changu.
Soma, Pia:
Waziri Ulega Atoa Maagizo kwa Mkandarasi Kuharakisha Ujenzi Barabara ya...
mavazi siyo tabia ya mtu ila mavazi yanaweza mfanya mtu akaonekana siyo mtu mwema. Wapo watu wapo very smart lakini ni wezi hakuna mfano njoo mitaa ya samora , au pale Rita mpaka posta mpya kuja Imalaseko au Azam hapo mjini vijana wengi ni smart lakini ni matapeli hakuna mfano. Kwenye mavazi ni...
mzee unaumia yaani mbona tangazo limejieleza . Sasa ulitaka maelezo yapi tena hapo wakati lipo wazi kabisa sema kizungu kimekupiga chenga fata hiyo link waliyoweka upate la kiswahili utaelewa tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.