Recent content by ScaniaR

  1. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

    Bila shaka wapo lakin katika jamii ya Kinasara(Kikristo)ni kama wameoza maana ipo kuanzia kwenye Mimbari( Madhabahu) za ROME Makasisi wenu ndio waasisi wenu mpaka POPE akaona isiwe shida aanze kuzibariki ndoa za Wasenge ndani ya Kanisa.
  2. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    Unaweza niletea aya Moja tu iliyoitaja Nchi Israel katika Qur’an?
  3. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Watu wanaosali muda huo kisha baada ya hapo anafanya ufusika hiyo ni sahihi?

    Jambo hilo si sawa, na Hakika ya swala iliyoswaliwa vizur kwa kutimia ahakam na sharti zake inatakiwa imzuie/Imkataze mswaliji kutokana na uovu na uchafu. Hivyo ikiwa mtu atakuwa anaswali lakin bado hajaweza kujizuia na maovu basi kuna shaka ya swala yake haijakubaliwa. Ila hatakiwi kuacha...
  4. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

    Albadili ni ushirikina na mara nyingi hufanywa na watu wanaojinasibu kuwa wao ni Masheikh katika Uislam na hakika ilivyo hafanyi Mtu jambo lile ila Tayari anakuwa Mshirikina na si Muislam tena , Na Albadili ni Ushirikina
  5. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

    Yampasa kila mmoja kuchagua upande wa haki hata kama haki hiyo itakuwa ni yenye kukubana na kukusababishia maumivu na unyonge. Ni Mtu aliyekosa utu pekee na asiyefikiri sawasawa au aliyepata kudumaa utotoni ndio anaweza asione dhulma zinazofanywa na Tel Aviv. Hezbollah anakuwa Gaidi kwa...
  6. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapema💔

    Unajiona umepatiia mwenyewe. Anapswa ajue na aelezwe kama yapo madhara ya kuiingia mapema au faida iwapo zipo. Na usipomwambia Wewe ataambiwa na wengine tena kwa namna wanayoijua na kuipenda wao
  7. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye viwanja vingi vya ndege (Airports)

    Justify this.
  8. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

    Nadhan kwenye National parks ni ukarabati wa Airstrips na sio airports
  9. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Nilileta nyuzi nyingi kuhusu wasanii wa kiume na hereni, kusuka pamoja na vipini puani hamkunielewa. Sasa P Didy kaja kuwafumbua macho

    Shetani ni Mungu wa dunia yako si hii, hii ina mwenyewe Boss, tulizana usichanganyikiwe
  10. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanamke anakukwaza, hakutii ; Quran inasema mpatie kipigo akili ikae sawa

    Kumhama Nyumba au Chumba? Aya gani Mkuu?
  11. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

    Hapa Mada ni Iran Vs Israel sijaona sehemu yoyote ilipotajwa Ukafiri sasa acha kuharibu huu mjadala pamoja kufahamu shida zenu
  12. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

    Kuna watu wanatumia uwanja wa KIA na wameshazurura sana kwenye airport za Amserdam, Zurich, Michigan, LA, Frankfurt, Munich, Ataturk, DXB ,Heathrow wakati unaendelea kuishangaa Dar. Kuna wakati nilikutana na Mshkaj alikuwa hajawahi kufika Ubungo ni Mzanzibar yeye anajua Bandarini na Airport
  13. ScaniaR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

    Elezea viashiria vya Rusha ulivyoviona kwa miwani yako ya Mbao? President Samia ni Muslim ulitaka apatiwe ndugu Robot?
Back
Top Bottom