Recent content by scalper

  1. scalper

    Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Acha na mm kidogo nitoe ya moyoni. Habar ya weekend Nasikitishwa sana na utawala wa huyu mama asa asa kwenye mfumuko wa bei. Yaan vitu vinapanda bei kila baada ya masaa na mama kimya, nafaham yy hana shida maana kila kitu anahudumiwa na kodi zetu, Alaf vitu vinavyopanda bei ni vile potential...
  2. scalper

    Wachambuzi wa masoko ya hisa za fedha duniani karibu hapa

    Waja JF wasalaam Natambua changamoto za biashara, hiz sio kwamba nilizipitia bado naendelea kuzipitia Hivyo nilikuwa naomba kwa yeyote ambaye angalau anauwezo ktk hii biashara tushirikiane kuchambua soko kila siku. Najua tunatumia strategies tofaut, lakin kwa kiasi fulan zinaendana...
  3. scalper

    Financial market expert tukutane hapa

    Wafabiashara wa masoko ya Hisa dunian(forex,crypto,bitcoins,binary options,gold,oil etc ebu tukutane hapa. Eleza changamoto unazokutana Nazo, umekata tamaa au bado, umesoma vitabu vingapi, kipi na kipi, safari unaionaje, utatoboa? Pls kama umeshindwa biashara kaa kushoto usilete maneno ya...
Back
Top Bottom