Recent content by Sayyid Khalifa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

    Jongoo mpaka ajigonge ndio abadili muelekeo.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bila mzungu tunaemlalamikia ni mbaguzi waafrika tungekuwa na hali ngumu sana, biashara ya utumwa ingeendelea, tungebaguliwa zaidi

    Hivi umewahi kisoma au kisikia namna wareno walivyowafanyia ukatili na unyama uliopindukia watu wa afrika mashariki Kwa miaka 200. Hivi umewahi kisoma au kisikia kuhusu mauaji ya kimbari ya Namibia? Waafrika zaidi ya milioni 2 waliuliwa kinyama na wajerumani. Vipi uliwahi kisikia kuhusu vita...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bila mzungu tunaemlalamikia ni mbaguzi waafrika tungekuwa na hali ngumu sana, biashara ya utumwa ingeendelea, tungebaguliwa zaidi

    Na chengine ambacho ndugu yetu hakijui ni kwamba,wanunuaji wakubwa wa watumwa kutoka afrika walikuwa wazungu. Mfano marekani kwenyewe,Brazili,Jamaica,Haiti, na nchi zote za carrebian. Halafu Leo unakuja kutwambia hawawabagui waafrika?! Kweli mapenzi ni kipofu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vita inayoendelea baina ya CCM na Serikali imekuwa nzito sana! Tuwaamue au tuwaache watoane ngeu?

    "KAZI ANAYOIFANYA MAKONDA ILIPASWA KUFANYA NA UPINZANI". Hivi wapinzani wanaweza kuwaita wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,wakurugenzi wa halimashauri,RPCs na watendaji wengine wa serikali kwenye mikutano yao na kuwahoji na kuwapa maelekezo kama anavyofanya makonda?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

    Nchi karibu zote za kiafrika baada ya uhuru zilingia katika mfumo wa kidikteta isipokuwa afrka kusini na Botswana. Na zote zimekuwa na maendeleo duni isipokuwa Botswana na south Africa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Usalama upo KKKT na Sabato tu, Zanzibar nako hali ni tete kwa ndugu zetu Waja wa Allah!

    Nyinyi zungukeni ila papa ameshabariki ndoa za jinsia moja. Siku sio nyingi mtaanza kufungishana ndoa za jinsia moja makanisani😂.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mimi si Mtanganyika bali Mtanzania

    TANZANIA=TANGANYIKA+ZANZIBAR+IA. Hakuna jipya hapo. Hakuna ubaya wowote kuitambua main land kama TANGANYIKA. Kwasababu ndio jina lake rasmi la UHURU.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Ikiwa wakurugenzi wa halimashauri hawatasimamia uchaguzi katika majimbo,kidogo itamake sense. Lakini kama watasimamia hamna kitu ni danganya toto tu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

    Vijana hawajavunja mwiko, hawajafikia hata robo ya robo ya maandamano yaliyokuwa yanafanywa na CUF miaka ya 2000. Kipindi hicho jeshi la polisi likiongozwa na IGP mbabe Sana bwana Mahita. Lakini pia CHADEMA ya Dr Slaa ilikuwa ya Moto Sana kwa maandamano. So hakuna mwiko Wala upawa uliovunjwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mikutano ya Act wazalendo sio kama ya Chadema na vyama vingine. Sisi tunaeleza kero na namna ya kutatua.

    Siasa si uadui, kila chama kieleze hoja zake kwa wananachi. Mwisho wa siku wananchi ndio wanaamua. Hata mbuyu wanasema ulianza kama mchicha.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe akitajwa kokote au akasifiwa, CHADEMA hukosa raha. Kwanini roho za kutu?

    Dah! Kumbe ni kweli aisee!!! Kitendo cha kuweka hilo bandiko mashambulizi yameanza.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Hamza: Zanzibar inastahili 21% ya Ajira za TRA, TCRA JWTZ, Polisi, Uhamiaji na Taasisi zote za Muungano!

    Kwanini msiwaache tu wakaendelea kivyao?! Kama mnaona ni pasua kichwa waacheni kama walivyokuwa kabla ya muungano. Kumbuka Tanganyika iliungana na nchi yenye mamlaka kamili inayoitwa Zanzibar na sio mkoa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wassira: Tukiruhusu Serikali za Majimbo kama Sera ya CHADEMA tutajuta, Kenya Nusu ya Mapato yake hulipa mishahara ya Wabunge na Magavana!

    Kwa katiba ya sasa tunalipa mshahara wa mkuu wa mkoa(Gavana),Katibu tawala wa mkoa,wakuu wa wilaya,makatibu tawala wa wilaya, wakurugenzi wa wilaya, wabunge, makatibu tarafa,madiwani n.k ndani ya mkoa mmoja. Huyu mzee uwezo wake wa kufikiri umeshazeeka.
  14. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA-ACT Ndio mpango mzima, utakuwa muungano wa karne wa kutisha

    CHADEMA+ACT= 2/3 majority in parliament.
Back
Top Bottom