Recent content by SAWIKO

  1. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yote Ni Mapito Tu Man U Inapitia
  2. S

    Kwa tuliosoma Kantalamba secondary school

    R.I.P, CHIJUA utakumbukwa daima na wana kantalamba
  3. S

    Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

    Simba Leo Mnabeba Mbili Kwa Moja,siku Hizi Hakuna Mpira Wa Historia. Mbeya City Piga Simba,sisi Tupo Nyuma Yako
  4. S

    Tatizo la kutokwa damu kwenye uume!

    Hilo Ni Tatizo Ambalo Huwapata Watu Ambao,mara Nyingi Uume Husimamisha Kwa Mda Mrefu Na Huishia Lutofanya Tendo La Ndoa,kuna Mishipa Huasirika Na Kusababisha Vijidamu Kutoka. Jaribu Tiba Ya Kunywa Maji Ya Vuguvugu Kwa Wingi Ili Kupata Mkojo Mwingi Utakao Safisha Kibofu Na System Nzima Ya...
  5. S

    Red bull inahatarisha maisha hasa kwa vijana

    Gland Malta Yenyewe Vipi?au Ni Kama Red Bull?
  6. S

    Asilimia 60 chali matokeo ya kidato cha nne

    eti kila kufeli wanafunzi wanadai maabara hakuna?yaani kiswahili,english,history nayo haya masomo yanahitaji maabara?tuache visingizio jamani
  7. S

    Serikali na ajira za walim 2013

    Tatizon sio kulalamikiwa,waelewe hawa jamaa wanadai tatizo ni ahadi ambayo imetolewa na mkuu wa nchi na mawaziri wake bado haijatekelezwa
  8. S

    Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Tatizo sio wanaosubiri tatizo ni taarifa wanazotoa kwenye vyombo nvya habari kwamba tayari kisha wanataja na tarehe ,kama hali ndio hiyo si wakae kimya wasubiri mpaka watakapo tangaza tu.
  9. S

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Hizo ni taarifa karibu kila chuo huwa zinaenea,lakini inawezekana hasambazi yeye kwa uharisia waasirika wa UKIMWI ni wengi kuanzia chekechea mpaka elimu ya juu kwa hiyo kuwepo elimu ya juu kwa wingi haiepukiki kabsaaaaa
  10. S

    Ajira za Walimu kutangazwa leo.

    tunashukuru kwa taarifa,lakini siku ndio hiyo ishapita labda kesho au kesho kutwa si unajua hawaeleweki
  11. S

    Hivi ni Kweli Wizara Haijaweka majina ya walioajiriwa Kwa Mtandao?

    walimu kazi ipo na taarifa zisizo zibitishwa,yafaa kusubiri tu siku chache zijazo kama wasemavyo
Back
Top Bottom