Recent content by sawa

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

    Hakuna pernat Mamelod wanaweka kamba ya 3 Muda si mrefu
  2. S

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Swali wako wapi Dart wenyewe waje waseme
  3. S

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    swali la kwanza kwa Dart. 1.hivi mnajua idadi halisi ya watu wanatakiwa wapande gari zenu??2. Tunajenga miundombinu ya barabara why magari hatuongezi???3.mnashindwa kuboresha Mazingira ya vituo vyenu hasa mbezi to kimara mvua ikinyesha ni hatari
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    kitabu chochote cha Otabil mensa muhubiri wa Ghana kinacho husu Wisdom kitatusaidia nacho maana nacho kina siri za ajabu sana tusaidieni tupade pdf wapendwa muanzisha uzi tunaomba msaada
  5. S

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

    tunaomba softy copy ya hivi vitabu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

    weka kitabu cha wayahudi na vingine vya wayahudi vinavyoelezea mafanikio yao katika uchumi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

    Kitabu cha Trevoh Noah cha 21st century
  8. S

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

    naomba pdf ya kitabu cha Trevoh Noah ambacho kizuri kilichosomwa sana kinaitwa nadhani 21st centuary
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    mwenye kitabu cha OTABIR MENSA CHOCHOTE HASA CHA MAMBO YA WISDOM PLEAS MSAADA PDF
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    kitabu chochote cha Otabil mensa muhubiri wa Ghana kinacho husu Wisdom kitatusaidia nacho maana nacho kina siri za ajabu sana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    mwenye kitabu cha the Secrete ameandika dada anaitwa LINDA AU LONDA tunamuomba akiweke humu maana nasikia kina siri za ajabu sana ambazo hazifundishwi popote pale
  12. S

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Akaunti ya barua pepe za Zitto kwenye mtandao zimedukuliwa na watu wasiojulikana

    Ukitaka kujua jinsi #MATAGA wanavyomchezea akili Rais ni km walivyofanya baada ya ku hack acc ya Zitto, wana tweet na kumtag @MagufuliJP ili adhani kuwa Zitto ndiye anaye tweet. Then waliohack wanapewa teuzi za u DC, u DED, etc Disgusting!
  13. S

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Akaunti ya barua pepe za Zitto kwenye mtandao zimedukuliwa na watu wasiojulikana

    Nape Moses Nnauye‏Verified account @Nnauye_Nape FollowingFollowing @Nnauye_Nape More Nimeona tweets zinazodaiwa kuwa za Ndg Zitto zikinitaja. {Kakanusha sio zake}. Kilichonishangaza ni uwezo mdogo wa kufikiri wa wadukuaji! Mnanyimwa usingizi na nini?? Hamuwezi kuendelea na maisha MSIPONITAJA...
  14. S

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Akaunti ya barua pepe za Zitto kwenye mtandao zimedukuliwa na watu wasiojulikana

    Zitto Kabwe Ruyagwa‏Verified account @zittokabwe 1h1 hour ago More Wapo ambao najua wataniita majina mengi ya ajabu kwa maamuzi yangu haya kama jinsi ambavyo wamekuwa wakimshambulia ndugu yangu @Nnauye_Nape kwa kutokuwa na misimamo thabiti lakini nataka niwaambie huo ndio msimamo wangu na sitaki...
Back
Top Bottom