Recent content by Savior ruther

  1. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Nahitaji electric bike

    Wale wauzaji wa hizi mashine tafadhali mje chap mniuzie Iwe mpyaa
  2. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Wakubwa ni akina nani wanauza hizi pikipiki za kuchaji waje tuongee biashara niichukue Iwe mpyaa na yenye muonekano bomba kama inavyoonekana hapa
  3. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania SoC01 RC Makalla na Uongozi wa Dar: Fuateni ushauri huu Dar es Salaam itakuwa na mazingira safi kuliko Moshi

    Hapo kwenye faini, na mtoa taarfa kupewa chochote hio kwa kazi yake hio imekaa vizuri na itasaidia kuwa kila mtu atakuwa mlinzi wa mwenzake Lkn yote hayo itategemea na utayari wa serikali ya eneo husika, mana mara nyingi tunaona sheria, kanuni na miongozo inaletwa alf mwisho wa siku inapotezewa...
  4. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Azam UTV?

    Me nkajua kwangu tu, au ndo wanatutega tulipie package ya kuangalia channel zote..!!!!
  5. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha dawa alichozindua Rais Magufuli kipo tangu mwaka 2014, sio kipya

    Kwa hiyo aliwatembelea ndo wamanisha au..!??
  6. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

    Naona mkoa wangu Kagera Unazidi kuwapeleka kindakindaki Kwa kutoa shule 4 over 10 Hongera sana wadogo zangu na mkazidi kuikazi slogan yetu..[emoji137]
  7. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Ni baada ya mda gani..??

    Kwa hiyo inaoekana mda wowote..?. Hata mda huohuo
  8. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Ni baada ya mda gani..??

    Naomba kuuliza virus vya UKIMWI huoneka baada ya mda gani kwenye vipimo vya hospital baada ya mtu kuambukizwa.?? Au ni mda wowote hata baada ya sex na mwenye + kama umekupata unaweza kupima na ikaonekana umeshakuwa muathirika.?
  9. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

    Kweli tena ilikuwa mara moja tu mara demu akagairi
  10. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

    Shukran sana asee
  11. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

    Mm nko vzr japo nilipopewa hzo taarifa nkajihisi kuumwa ghafla
  12. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

    Ahsante kwa ushaur wako
  13. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

    Yah..kupima muhimu lakini mda mwingine roho inadunda kuliko kawaida
  14. Savior ruther

    JamiiForums Tanzania Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

    Kuna kipindi fulani hivi kama mwezi wa 8 nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja hivi, kumbe bila ya mimi kujua yule binti ana HIV+ na siku tunafanya mapenzi alikuwa anasitasita nadhani nafsi yake ilimsuta kwa sababu sikuwa na condom, nilipoingiza tu mara moja hakutaka niendelee tena Sasa juzi...
Back
Top Bottom