Recent content by Saveya

  1. S

    JamiiForums Tanzania John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Hoja ni kufika Tanzania na kuitwa na hao mnaowasemea watoto wa Viongozi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    •Wangekuja tungeshajua tu mkuu • kama walikuja walipiga shoo ukumbi gani
  3. S

    JamiiForums Tanzania John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Wewe unaamini kuwa Beyonce huwa anakuja Tanzania kufanya shoo na kusepa kwa Siri?
  4. S

    JamiiForums Tanzania John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Issue ya kumuita Beyonce naona kama haingii akilini
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    - tatizo unataka kuwadanganya watu kama mishahara ni mikubwa kama ya tra, Ewura,tasac -mshahara wa asp na posho zake haununui iphone 17 pro max 😂😂
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    😁
  7. S

    - wa Tanzania
  8. S

    JamiiForums Tanzania KERO Nimefanya kazi Kampuni ya Wachina kwa miaka 10 bila mkataba, wameniondoa kazini bila kosa lolote, nafanyaje kupata stahiki zangu?

    kasome section 62 ya labour institutions act on the presumption of An employer and employee relationship.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    -hiyo salary slip ungeiacha tuone figure ndio ndio tungecheka zaidi - nikivyoona mshahara wa asp ni 1.5m nikachoka sana.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    kumbe mshahara wa nyota tatu ni 1.5m pesa ndogo sana hii yaani hadi kupata nyota tatu it takes years kumbe salary scale yenyewe 1.5m, Ofisa wa Tarura anayeanza kazi anapata 2.2+ M anamzidi hadi SSP
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    -Aah so ni more than 900k -hivi degree kwa wale wanaojiita 'wenye nchi' TpdEfu inalipwaje
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Imefika 700k?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    - ngoja tusubiri majibu ya Nakfa kwenye hili, ila Mimi naamini ni around 470-500k not that much
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Imefutwa hiyo slip Ila inaonesha mshahara ni 478k, posho ni 47800/-, posho 71700/- (sijui ni posho za nini) -😅😅
Back
Top Bottom