Recent content by SAVE MONEY

  1. S

    Nitarudisha kadi ya CHADEMA haraka sana...

    Mtoa mada naona povu limekutoka kweli,embu nikuulize aliyetoa huo ujumbe ninani je anawadhifa gani ndani ya chadema,huyo aliyesambaza ujumbe huo mi nionavyo ni maoni yake,watu wanaweza wa kayachukua ama wakayapuuzia,na hata wewe uliyeingiza mambo ya uchochezi kwa kuzihusisha taasisi za kidini...
  2. S

    Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

    Aise pol sana ndugu yangu,huyo jamaa Malik mtoto wa marehemu Hussein,hivi ajaacha utapeli wake? huyu jamaa baba yake alikuwa mshkaji wetu sana na mtu wa kujituma hususani ktk masuala ya uchimbaji mdogo mdogo wa madini pia na ufugaji wa ma bwawa ya samaki,mshua wake alikua mtu wa kujituma sana...
  3. S

    Nitaendelea kumtetea Zitto kwa gharama zangu zote. Kwa pamoja tuutokomeze ukiritimba

    Naona ndugu yangu hufikirii mbali,Zitto akikosea ndani ya chama hapaswi kupewa onyo? ameonywa mara ngapi ndani ya CDM ila akawa anapuuzia, kumbuka chama si mtu mmoja chama ni taasisi kina mamlaka zake,ikiwa kiongozi wa ngazi za juu anakwenda kinyume na chama anapaswa kuonywa ikishindikana...
Back
Top Bottom