HISTORY, somo hili sikulipenda japo nilikuwa nikifanya vzr ktk mitihan lkn kwangu me niliona kama linanitia hasira kwa kunijuza maovu yaliyofanywa enzi za ukoloni na bado viongoz na walimu wa somo hilo walizid kuonyesha kuwanyenyekea wagen hao ambao baba na babu zao ndo wametutesa
bonge la ujumbe sema tu hujasomeka kwa watu wengi! ni vyema na haki mtu aka focus kwenye fun yake na sio kufuata mkumbo. kama unakwenda chuo kwa lengo la kuendeleza fun yako its okay lakini kama unakwenda chuo kwa fun isiyo yako umepotea kabisaaa... kwani utajutia mda na pesa ulizo poteza. "Do...
mbona hawa watu wako free sana kutunyonyo inamaana serikali hailioni hili jamani mbona tunaandaana kuwa mafisadi sasa, coz haiwezekani m2 unyonywe namna hii alafu we badae upotezee lazima kufidia 2 hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.