Recent content by satong

  1. satong

    Mwenye uzoefu na Biashara ya Stationary (jumla na rejareja)

    Habari za leo wanajamvi, Naomba ushauri kwa wazoefu na biashara ya stationary( jumla na rejareja).Mambo muhimu ya kuzingatia pia kuhusu location nzuri hususani kwa Dar au Mwanza Karibu na ahsanteni
  2. satong

    Video Editor is needed ASAP

    Hello Team, Happy Holidays and nice to e-meet you! I know that you are experts on video editing. Therefore I'm writing to ask you if you can work in Fusion/Davinci Resolve, we have a client who might have some videos which are complicated and require more motion graphics and VFX work :)...
  3. satong

    Natafuta mtaalamu wa kutumia Cat Tools

    Ukisoma vzr hapo mkuu nimeeleza mashine translation (vifaa),sasa sidhani km vifaa cha ujenz vinaweza kufanya translation
  4. satong

    Natafuta mtaalamu wa kutumia Cat Tools

    Habari wana JF, Naomba anaejua kutumia hizi mashine transilation km SDL Trados 2021 au Memosource aje DM tuongee. Ahsante sana.
  5. satong

    Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

    Sipati verification code kwenye namba yangu, please naomba msaada niwaze kufungua account ya Payoneer
  6. satong

    Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

    Sipati verification code, naomba msaada
  7. satong

    Team Leader (DFID Shule Bora) at KPMG

    Nafasi za kazi washatangaza plan na chemonics ?
  8. satong

    Nauza ving'amzi vya Azam na Dstv, jiko la gesi na mtungi wake, na Microwave

    King'amuzi nitumie nina 80 cash Sent using Jamii Forums mobile app
  9. satong

    Natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo

    Habari wanajamvi ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo. 1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea, 2: Awe anajitambua 3: Awe mkristo 4: Awe anajua kupika na msafi 5: umri miaka 20-28 6: Akiwa mjasiriamali ni nzuri zaidi SIFA ZANGU 1: Elimu Degree 2: umri 30 3...
  10. satong

    Kazi ya mtandaoni

    *Mwalimu wa history anahitajika feza boys* *secondary* *Sifa za muombaji* Chuo mlimani or Duce Umri 24-30 GPA 3.5 up to 5.0 Tuma online kupitia email address hiyo chini Info@fezaschools.org application@fezaschools.org
  11. satong

    Natafuta wateja wa kununuasamaki aina ya sangara kwa bei ya jumla

    Hahahahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  12. satong

    Natafuta wateja wa kununuasamaki aina ya sangara kwa bei ya jumla

    7500kg Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom