Recent content by satisfied

  1. S

    JamiiForums Tanzania Application letter ya TRA

    Kwa uzoefu wangu mara nyingi hupendelea uandike kwa mkono ....so its better achalaze kwa mkono assign afu ascan na utume Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kurudishwa kazini

    Sasa kama upo kazini mkuu mbona ukapanic sana asee? Ulinishangaza sana ila nikajua tu tiari ushavurugwa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kurudishwa kazini

    Sasa unanibishia mkuu ama?au una stress ndugu yangu? Maana sio kwa povu hilo. Narudia tena watu wameshaanza kuitwa kazini kwa awamu...we ukibisha wala sikushikii kiboko kukulazimisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kurudishwa kazini

    Wanaita kurudi kazini lakini kwa makundi makundi serikali haina pesa kuruhusu watu wote waingie kazini kwa wakati mmoja.Hivyo kuweni na subira ndugu zanguni
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekana nina matatizo makubwa katika mahusiano

    Haha haaaaa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekana nina matatizo makubwa katika mahusiano

    Afu mkuu kama vipi njoo nikupe upendo tu hutotamani kutoka kwangu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekana nina matatizo makubwa katika mahusiano

    Mkuu utakuwa umeathirika kisaikolojia.Fanya hivi vitu viwili kwa kuanzia.Kwanza Muombe Mungu kwa kumaanisha akuondoe katika hiyo hali.Pili waone wataalam wa saikolojia watakusaidia mno.Pole sana mkuu Mungu akakusaidie asee ni mbaya sana hiyo kitu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili WCF na LAPF

    Asante mkuu kuna mdau pia alinijibu kuwa washaitwa oral LAPF.Yaani hivi vitu vinaumiza sana ila tuendelee kutuma maombi sehemu zingine.WCF nao sijui wananini tu hawasikiki kabsa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili WCF na LAPF

    Unamaanisha zile tulizoomba february, 2017?na je waliita position gani interview na waliita kwa njia ipi?walipiga simu,meseji ama walitundika majina kwenye web yao maana sina habari kama wameita mkuu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili WCF na LAPF

    Nafasi gani mkuu maana nakumbuka majuzi walitoa tangazo la kazi ya legal officer unamaanisha washaita hizo mkuu?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili WCF na LAPF

    Nilidhani nililiona mimi tu mkuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili WCF na LAPF

    Kuwa mfatiliaji wa Zoomtanzania website,kisima cha wasomi,ajira zetu,JF hapa ulipo na Secretariat ya ajira mkuu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili WCF na LAPF

    Umeona mkuu?usimamizi ulikuwa magumashi sana ndo maana hata hawakuwa wanajishughulisha kusimamia kabsaaa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili WCF na LAPF

    Umeona mkuu?usimamizi ulikuwa magumashi sana ndo maana hata hawakuwa wanajishughulisha kusimamia kabsaaa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili WCF na LAPF

    Tumedunda mkuu
Back
Top Bottom