Kuwa mfatiliaji wa Zoomtanzania website,kisima cha wasomi,ajira zetu,JF hapa ulipo na Secretariat ya ajira mkuuJamani hivi humu kwenye mtandao mnayapata wapi matangazo ya nafasi za kazi naombeni nisaidieni na mimi( mwenzenu ni mhanga wa ajira) nina shida na hiyo website ya matangazo ya ajira.
Nilidhani nililiona mimi tu mkuuyaani..... kila mtu aliliona hilo....
Nafasi gani mkuu maana nakumbuka majuzi walitoa tangazo la kazi ya legal officer unamaanisha washaita hizo mkuu?Naombeni nijue kama walioitwa kufanya Oral pale N.I.C kama washaitwa kuanza kazi?!
Unamaanisha zile tulizoomba february, 2017?na je waliita position gani interview na waliita kwa njia ipi?walipiga simu,meseji ama walitundika majina kwenye web yao maana sina habari kama wameita mkuuNaombeni nijue kama walioitwa kufanya Oral pale N.I.C kama washaitwa kuanza kazi?!
Walikua wanatafuta assistant accountants..interview written tyr na oral tayari..Unamaanisha zile tulizoomba february, 2017?na je waliita position gani interview na waliita kwa njia ipi?walipiga simu,meseji ama walitundika majina kwenye web yao maana sina habari kama wameita mkuu
Yapo hata makundi maalum ya whatsapp kwaajili ya update za ajiraJamani hivi humu kwenye mtandao mnayapata wapi matangazo ya nafasi za kazi naombeni nisaidieni na mimi( mwenzenu ni mhanga wa ajira) nina shida na hiyo website ya matangazo ya ajira.
Jamani mwenye tetesi yoyote kuhusiana na majibu ya usaili wa kuandika tuliofanya WCF na LAPF maana naona muda umepita sana ama ndo tiari watu washaitwa mi some habari?
Asante mkuu kuna mdau pia alinijibu kuwa washaitwa oral LAPF.Yaani hivi vitu vinaumiza sana ila tuendelee kutuma maombi sehemu zingine.WCF nao sijui wananini tu hawasikiki kabsakwanza kula senksi kwa kuleta swali hili hapa japo kuwa kwa upande wangu kuna mdau alininyetisha kwamba kwa upande wa LAPF washafanya oral tayari sasa sijui kama ni kweli au laah lkn kama ulifanya interview ya written na unaona kimya mpaka sasa badi ujue ndo washapata waliowahitaji ila kwa upande wa WCF sijui kwa kweli maana naona nao kimya sana..