Recent content by satiricalNtemi

  1. S

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    mtakimbia nchi wala rushwa na wahujumu uchumi.Magufuli ndiyo wa kukinyoosha chama na kulinyoosha taifa.
  2. S

    Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    huyu ni ndugu yake rosty kabisa
  3. S

    Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    hapo ni st gasper ilipoweka kambi team mamvi
  4. S

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    KAULI ya mwanasiasa wa zamani Kingunge Ngombale-Mwiru dhidi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye kuhusu maamuzi ya vikao ndani ya chama hicho, imeibua mjadala kutoka kwa wajumbe wa vikao hivyo wanaohoji anachokitetea mzee huyo. Wakizungumza na FikraPevu kwa...
  5. S

    Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    Taasisi ya Kiislamu yataka Madabida awajibishwe kwa kauli za kumdhalilisha Mtume
  6. S

    Maajabu ya Bernard Membe

    Naona mnaocomment mnajifanya great thnkers but truth is wote mamburulaz le akili ndogos wa kufuata mkumbo. Mnajudge entire career ya mtu kwa statement tano. Hivi hamjui chama ndiyo kina sera na sio mgombea. So hao wengine wanaoongea mnavyodhani vya maana ndiyo hawana kitu kwa sababu mwisho wa...
  7. S

    Membe katoa wapi fedha za kuzunguka Mikoani kutafuta wadhamini kwa ndege binafsi?

    Nafanya kazi coastal na tunakodisha ndege, kale kandege anakotumia jamaa ni kadogo ka watu nane, kukodisha kale ni dollar elfu moja,siyo hela ya kushangaza. Wabongo ushamba umetuganda tukisikia ndege tu basi tunaona dili. Yani kale ni kabajaji. Hata msimpe kiki huyo membe.
  8. S

    Wagombea CCM wamwaga fedha kama njugu

    Lowassa alimlipa dogo diamondi milioni 100 kuwachezea wamasai ngololo,sasa masai na ngololo wapi na wapi.hizo hela si angeeda kujitibia ili kama kumchagua rais tujue ni mkataba siyo atuingize gharama za kurudia uchaguzi tena 2017
Back
Top Bottom