Recent content by sassy girl

  1. sassy girl

    INAUZWA Nauza furniture

    Bei weka bei zinavutia sana hope zinalast longer Sent from my Nokia 7.2 using JamiiForums mobile app
  2. sassy girl

    INAUZWA Friji/ jokofu (refrigerator) Tsh. 350,000 net

    Brand gani Sent from my Nokia 7.2 using JamiiForums mobile app
  3. sassy girl

    INAUZWA Mashine ya kukamua miwa

    Ulifanikiwa kupata Kwa gharama gani?? Kuna mtu alikua anataka kujua gharama ya used or kamanitakua New pia aringanishe bei then achague Sent from my Nokia 7.2 using JamiiForums mobile app
  4. sassy girl

    Wawili wadakwa Uwanja wa Ndege wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya kilo 13.4

    Kuna yule mwanamke na mumewe waliohukumiwa juzi kati kifungo cha maisha Kwa kesi ya madawa na hao waunganishwe basi na huyo mwanaume asiejulikana ni nani
  5. sassy girl

    Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

    Wanawake wangapi umewasasambua Kwa Ndoa ...!?kiazi wewe [emoji16]
  6. sassy girl

    Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

    Asante dear,faraja mwanangu naweza kumuhudumia nashukuru hakosi mahitaji muhim
  7. sassy girl

    Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

    Sio kila single mother amekimbiwa punguza kukariri kama kuacha kabisa tabia hiyo imekushinda
  8. sassy girl

    Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

    Unataka kujua nini kuhusu baba mtoto,?
  9. sassy girl

    Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

    Watu wa jamii forum bwana mda mwingine mnasoma post juu juu tu mnacomment kwakuwa lazima kila Uzi muonekane mpo si ndiyo...!? Mi sio Malaya na wala sijawahi jiuza hata kama tunatumia Fake ID heshima iwepo pia ,Sawa jua linawaka Ila tusiliendekeze wengine mnasema ooh hata nyuzi sijui sijakauka...
  10. sassy girl

    Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

    Wapendwa naombeni sijui ushauri au sijui niseme faraja mana hata sielewi mimi ni mdada umri 27 mwaka jana December nilifungua mtandao unaitwa Badoo huko ili nipate marafiki wa kuniliwa kama vile kuchat ikibidi kuonana sikuuchulia seriously Sana'a kwakuwa watu wengi niliobahatika kuchat nao...
  11. sassy girl

    Bidhaa kutoka INDIA

    +91 99908 74397nonyangu
  12. sassy girl

    Bidhaa kutoka INDIA

    Ndy naona leo Uzi wako mkuu nilikua busy sana vipi ulifanikiwa kama bado karibu tufanye biashara
  13. sassy girl

    Nakufa naombeni msaada

    Wapendwa nilisahau kwafamisha nna katoto kazuri ka kiume kesho kanatimiza miezi 4 ,Ila sasa udongo ndy nimekua addicted hapa nakazana kuomba huku nikila mmoja Kwa siku ili niache Mungu ni mwema
  14. sassy girl

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nokia 7.2 laki tano na nusu nauza used 2 month haina shida nataka kuupdate
Back
Top Bottom