Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 783
- 1,000
Tulia we dada Lea mtoto wako.Watu wa jamii forum bwana mda mwingine mnasoma post juu juu tu mnacomment kwakuwa lazima kila Uzi muonekane mpo si ndiyo...!? Mi sio Malaya na wala sijawahi jiuza hata kama tunatumia Fake ID heshima iwepo pia ,Sawa jua linawaka Ila tusiliendekeze wengine mnasema ooh hata nyuzi sijui sijakauka natafuta mabwana kama ni hivo basi ningempa huyo mwanaume na kusingekua na Uzi hapa leo, yule mtu mi alinionesha mapenzi flan hv ambayo Kwa wakati niliopo nayahitaji sana tu ,alikua mfariji wangu na nimtu ambae nilikua huru kishare chochote ambacho napitia au nafeel Kwa wakati huo nilikua huru nimemis uwepo wake#introvert#jamiiforumwherewedaretospeaktheTruth
Baba ake mtoto Mr. A anaweza kukurudia
#YNWA