Recent content by sasha itelewe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ijue siri kuu ya mahusiano katika Ulimwengu wa Roho

    Sasa Kwa sisi waislamu wenye ndoa zaidi ya moja
  2. S

    JamiiForums Tanzania Filosofia: Muundo wa akili ya mwanamke ni sawa na "one way traffic", inaruhusu upande mmoja

    Si kweli .tambua kwamba binadamu hatupo sawa kia akili hata kidogo.na kuna wanaume hawana akili ni bora ya wanawake mara mia
  3. S

    JamiiForums Tanzania Filosofia: Muundo wa akili ya mwanamke ni sawa na "one way traffic", inaruhusu upande mmoja

    Itakuwa kakutana na mwanamke wa hovyo.au yeye ndo alivyo kwani ndege wanaofanana huruka kundi moja
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

    Wabaguzi,wambea wa chini chini,wajuaji wao tu,hawajui kuvaa japo wasafi hata kama ana shati au gauni moja
  5. S

    JamiiForums Tanzania "Usitegemee Mama mzazi kumpenda mkeo, au mkeo kumpenda mama mzazi"

    SHIDA TUNATAKA TUKIOLEWA MUME HADI MAPENZI NA MAMA YAKE YAISHI JAMAN.LOL
  6. S

    JamiiForums Tanzania "Usitegemee Mama mzazi kumpenda mkeo, au mkeo kumpenda mama mzazi"

    ina tegemea ..kuna ambazo familia za mume watu wazuri mno ila muolewaji sasa akija badala ya kuwa kitu kimoja kwenye familia anageuka kuwa ndo mvurugaji wa familia.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Makerere University ‘ Vinara ‘ Afrika, SAUT ni ya ‘ Vipanga ‘ tupu na UDSM ni ya ‘ Hohe Hahe ‘ waliokubuhu

    naomba kufahamu kwa uelewa wangu mdogo hv dv 3 point 13 mfano na dv one ya hkl na akachaguliwa kusoma udsm yupi kipanga ...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

    USIPO MPENDA MAMA YAKO UTAMPENDA NANI DUNIA HII.HATA MKE ANAPASWA KUFAHAMU BILA MATESO ALIYOPITIA MAMA ASINGEKUJUA.. MUME MWEMA AU MKE MWEMA NI YULE ANAETAMBUA NAFASI YA MAMA KTK FAMILIA.NA WANAUME MLIVYO MBONA MKEO ANAMTHAMINI MAMA YAKE NA MNAWEZA ISHI NAE BILA SHIDA ILA AKIWA MAMA YAKO UGOMVI...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa Kenya

    nguvu inayotumika kuaminisha umma kwamba ni kweli.ingetumika kutafuta jinsi gani kupata pesa tungekuwa mbali mno jamani.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

    Mbona mada ipo kimbea na chuki tupu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

    Sababu nyingine ya wadada wengi kuomba Cs ni tabia ya waliotangulia kutoa siri za labor.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi ondoeni mtazamo wa kuwa ni lazima vijana wenu wawasaidie

    usipomsaidia mzazi wako .nani utamsaidia duniani
  13. S

    JamiiForums Tanzania naomba ushauri

    mtoto wangu ana ufaulu wa EDD,PCM ni msichana .round ya kwanza tulijaribu ardhi,udom,mzumbe na udsm kwa course za information system ,bcom (udsm na building economy ardhi tumekosa zote.tumejaribu second round kuona uwezekano.je asipofanikiwa naweza jaribu course zipi tena na vyuo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania naomba ushaui

Back
Top Bottom