Recent content by saripoko

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ofisa Habari wa CHADEMA aandaa press ya Kuivuruga ACT

    Wana ww seka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

    kwli kama hujui jamb basi usilipost kabisaaa???? na kama unaile hotuba ya upinzani basi isome vizuri na nenda kwa zile website ukajisomee mwenyewe au ngeli inasumbua ndio maana unachanganya mafail kakatika kuisoma mikataba?katika website?tusiweke uchama bali tuwe wakweli kan huu ni upotoshaji...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lema awashauri wakristo wa Kaloleni kutokwenda kanisani tarehe 16 Juni ili washiriki uchaguzi

    Unapoona jambo lichukue ,lichanganue kiundani na mwisho basi nenea. Litakuwa la busara na sio kila ulisemalo ndio sawa na sio kila kilichopo hapa jmf lazima uchangie kwan ww nani?kila kitu wajua kam mfalme juha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Lema awashauri wakristo wa Kaloleni kutokwenda kanisani tarehe 16 Juni ili washiriki uchaguzi

    Kosa kubwa mnalolifanya wenye uwezo mdogo wa kufikiri ni ku-misinterpret,omba ufafanuliwe kuliko ku-paste pumba mliyoshauriana,hata angegombea Nape+Kinana+Kj VS Kessy katika kata ya Kaloleni nakuhakikishia Kessy bado angeibuka mshindi na najua unalifahamu hili.Wananchi wamechoka kweli rafiki...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lema awashauri wakristo wa Kaloleni kutokwenda kanisani tarehe 16 Juni ili washiriki uchaguzi

    Nakuonea huruma ww akili yako ndio finyu zaid kwan hapo ulipo ulishawahi kuwa hata monita darasan?kama sio basi usichangie kitu kwan kama huna la msing nyamaza lema sia hana ufinyu wa kupambanua mambo hebu tupe mpambanuo wako mwe revu juu ya hili
  6. S

    JamiiForums Tanzania Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    Pia mhs wenje amesema kama yawezekana basi mikataba inayosainiwa na vyama hivyo iwekwe wazi kwa wananchi?kijjulikanenn kinacho sainiwa isije kuwa ni kama pori la loliondo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    Sijaona tatizo,ila tatizo ni sisi kutoelewa na kama umesoma hiyo hutuba hapo juu bas utagundua ,pia cdm sio wa gomvi ila kinaposemwa cha kweli weng huwa tunakana na baada ya mda kikitokea ndio tunaanza kusema ni kweli yslisemwa na mhsh fulan?na elewa kwamba msema kweli siku zote huwa anachukiwa...
Back
Top Bottom