Recent content by Sarayevo

  1. S

    Naombeni ushauri wenu katika hili jambo la kazini wanaJF

    Kwakweli sijawahi kula demu yeyote hapa kazini.
  2. S

    Naombeni ushauri wenu katika hili jambo la kazini wanaJF

    Yani hizi week kama tatu hivi ninafanya kazi kwa wakati mgumu sana na huyo jama wakati anajua mimi naondoka lkn lazima anajenga bifu.
  3. S

    Naombeni ushauri wenu katika hili jambo la kazini wanaJF

    Natumai mumeshinda salama ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinaposema naomba ushauri kwenye hili jambo: Baada ya kuajiriwa kwa muda mrefu niliona nitafute njia ya kujiajiri basi nikapanga mwisho wa 2019 nitaacha kazi lakini mfanyakazi mwenzangu akaniambia nisaini tu mkataba alafu baadae...
  4. S

    Serikali imchukulie pia hatua kali aliyechana Biblia

    Kwahiyo nyie bwana yenu kachanwe mwili alafu hiyo huyo akawa Mungu? Mungu anachanwa mwili? Na kweli hiyo bibilia kapewa nano kwa7bu vitabu vinavyojulikana ni : Tourat =Mussa Zabur =Daud Injil = Jesus Qur'an=Mohammad Jje bibilia kapewa nani?
  5. S

    Serikali imchukulie pia hatua kali aliyechana Biblia

    Mkuu naona hujui unalolisema kwa7bu chuki wakristo wanaifanya kwa waislam ni zaidi ya wasraeli waliomfanyia Yesu. Inchi ngapi zakislam zimevamia inchi za kikristo? Kama majini ata waislamu wanayatoa labda hao wahuko kwenu ndio wanaokuja huko kanisani.Lakini Qur'an nzima inafukuza mapepo.
  6. S

    Kafara la Mtumishi wa Umma, Ndugu Daniel Maleki, Je Qur’an Aliitoa Wapi?

    Mkuu kwahiyo wewe ukipewa kinyesi ule na wewe unakula? Jje waislamu wangapi umeona wanachana bibilia? au unafikiri hawawezi kuzipata?
  7. S

    Mwanaume wa mkoani mwenye haja ya mtoto

    Mkuu naona unaenda inje ya maada ukitaka maada kuhusu Muhammad zilete kwenye jukwa la Dino/ Imani tukutane huko, acha mambo ya Mwamposa huko.
  8. S

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Mkuu utumishi wa serekali ni kwa umma kwahiyo mtu akifanya kitendo kama hicho niubaguzi wa halo ya juu ambacho kinaweza kuleta chuki badae uvunjifi wa amani katika inchi, na kama haja vunja sheria yeyote kumbuka kesi za uchochezi zipo pia kuna maadili ya kazi. Mtu kama wewe anaeandika vzuri...
  9. S

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Hii ndio elimu mnayo pewa kwenye Sunday schools na zile mnaziita maombi kipindi cha mitihani.hakuna.jaziba hapa.
  10. S

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    You wrote like alearned person but the context of your statement exposes your ignorance in both you yourself and your family and funny enough your family, community and clan might be depending on you as their Wiseman of the century.
  11. S

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Mimi nafikiri kama mtumishi wa serekali kuna ethics za utumishi ukiachana na hizo sheria wenzetu wanazo ulizia, lakini pia nikitendo cha uchochezi nakusababisha uvunjifu wa amani inchini kwahiyo anasitahili kuchukilia hatua pamoja na futwa kazi.
  12. S

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    .Nawewe unaweza jaribu, mbona nyote mumetoka kwenye mti mmoja mnafundishwa chuki badala ya kuelewa biblia kumbe hii ndio elimu ya kwenda shule lakini sio kuelimika!
  13. S

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Mkuu japokuwa hajuani lakini unatakiwa ujue kwamba kuna sheria na kuna order, sheria atakama haipo haiwezekani mtu ana hatarisha amani ya inchi alafu unazungumzia sheria. Ebu sema hapa wapi umewahi kuona waislam wanachana bibilia? Kama ameweza kuchana Qur'an manaake ata kuua anaweza na kama...
  14. S

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Na elimu mnayo jisifu nayo kila Siku haya ndio mliosoma shuleni? Au niwale wanaoibiwa mtihani alafu wanajifanya wamefaulu kwa alama za.juu?
  15. S

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Kama wewe unazo sa7bu zakijinga kutoa koment kama hii! Inaonesha ulivyo enda shule ukaishia kuhesabu madawati.
Back
Top Bottom