Recent content by saraka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi yatangaza nafasi wazi viti maalum CHADEMA

    Habari wanajamvi, Kwa taarifa zilizopo ni kwamba tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza nafasi iliyopo wazi ya viti maalum kwa chama cha CHADEMA. Kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Tume nafasi hiyo itajazwa kufuatana na matakwa ya katiba na sheria ya taifa ya uchaguzi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nani kumrithi Dr. Macha ubunge viti maalum?

    Habarini wadau, nilikuwa napenda kujua ni nani atarithi kiti cha marehemu Dr Macha viti maalum chadema.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kuhusu UKAWA kugawana majimbo ya uchaguzi, mgombea mmoja

    Wadau wa JF Kama inavyodaiwa kuwa viongozi wa juu UKAWA wako kwenye mikakati na mazungumzo ya kuachiana majimbo ya uchaguzi kwa ajili yaa kusimamisha mgombea mmoja wa UKAWA katika kila jimbo, sasa swali linakuja je, watatumia mbinu gani kugawana nafasi za viti maalum ikizingatia kuwa viti...
  4. S

    JamiiForums Tanzania JKT watangaza nafasi za kujitolea

    kwa hiyo twende mikoani au wilayani tukaulizie?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rangi halisi ya Mchungaji Msigwa yaanza kuonekana, CHADEMA watch out

    BAADA YA KUGAWANA MAJIMBO VITI MAALUM JE? Wadau wa JF naomba kujuzwa jamani kama tunavyosikia viongozi wa UKAWA wapo kwenye kujadili namna bora ya kugawana majimbo ambalo ni jambo jema. Sasa swali linakuja je umoja huu utatumia mbinu gani kugawana nafasi za viti maalum hapo baadae?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Usaili magereza

    kwa maana hiyo tusipawekee matumaini kabisa kwa sasa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania JWTZ Professions

    jAMANI WADAU WENYE INFORMATION KUHUSU AJIRA JWTZ KWA PROFESSIONS ATUJUZE<br><br>
  8. S

    JamiiForums Tanzania Usaili magereza

    ungetusaidia pleaz kujua hiyo tarehe 16 ni majina ya usaili ndo yanatoka?, ndo siku ya usaili au ndo kuanza kwa kozi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya NDIYO au HAPANA makubaliano ya UKAWA

    Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kigwangala na timu yako - zungukeni mikoani ila hamtamuweza Lowassa

    cccm ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Mh.Rais J.M.Kikwete Unda serikali yenye watu hawa kwa kipindi hiki:

    No gender balance
  12. S

    JamiiForums Tanzania Leticia Nyerere: WaTanzania wengi wamepoteza uzalendo kwa taifa lao!

    Utakufa nacho kijiba cha roho
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi?

    Huo ndo ukweli tuache kuzungukazunguka. Kiukweli makabila hayo ni mabinafsi, choyo iliyopitiliza, roho mbaya na kujiona ni wao tu wanastahili.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi?

    Kwani ni uongo tuache kupindisha maneno. Hayo makabila kiukweli yana tabia ya roho mbaya iliyopitiliza, choyo, umimi, kujiona tu wao ndio wanastahili na huo ndio ukweli.
Back
Top Bottom