Tume ya uchaguzi yatangaza nafasi wazi viti maalum CHADEMA

saraka

Member
Jul 13, 2013
30
3
Habari wanajamvi,

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza nafasi iliyopo wazi ya viti maalum kwa chama cha CHADEMA.

Kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Tume nafasi hiyo itajazwa kufuatana na matakwa ya katiba na sheria ya taifa ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom