Afu mkiwa mnasoma yupo na min sa akikaa ndo kinapanda yaani mapaja yote nje,, hapo rijali ni udenda tu,,pindi halipandi jek limesimama utazan kuna breakdown. Kifuatacho madesa kule then mmmmm...... kavu kavu ndo kwa sana.
Way forward: tujaze kondom magetoni then tuzitumie maana hawa wadada...
wana JF, Habari.
Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi. Nifanyeje ili nimkimbie? asinizoee kabisa?
Nawasilisha.
Nashukuru sana mdau kwa uzi huu. Mimi kwa ujumla ndo fani yangu niliyosomea i.e Utalii, so wakiisha no job. dah walaaniwe majangiri wote wa rasilimali zetu za nchi hii, baba wa taifa alituachia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.