Hizo ni ajenda za ccm za kuwatuma wanacdm au ccm wenyewe kuvuruga uongozi wa cdm. Binafsi namkubali sana kamanda Patrobas kwani hata wiki hii nimemshuhudia mwenyewe alivyoshiriki kwenye ziara ya mkt taifa na katibu mkuu eneo la kata ya mwakata kahama.Lakini pia wk hii hii amekuwa na ziara na...
Unajua ccm hawatumii akili,wanapolianzisha hivi wajue kuwa hata wale wasiounga mkono katiba wataendesha nao maandamano. Ikifika hapo itaona wanaanza kuwapiga mabomu. Amani ya nchi hii itavunjwa na maccm.
Huu ni uchambuzi makini uliofanywa baada ya kujumuisha nafasi zote zilizoshindaniwa na ambazo wagombea kadhaa wa UKAWA hususan Chadema waliondolewa.Kwa uchambuzi huu ni wazi UKAWA walipata ushindi wavkujivunia.
Uchambuzi huu una vipengele 6 kama Ifuatavyo:
1. Wakati wa uteuzi wa wagombea...
Watu wamejaa wanasubiri maamuzi ya mahakama ila kinachoonekana hakimu tayari keshapewa maelekezo na maccm. Yaani huwezi amini mkurugenzi wa wilaya ambaye ndo chanzo cha yote haya amemkaba wakili wa maccm na hakimu
MUSOMA MJINI WABADILI MBINU ZA MAANDAMANO SASA POLISI NDO WAANZA KUANDAMANA.
Baada ya polisi kuomba kuongezewa nguvu za askari kutoka kanda maalum ya Tarime na Ryorya na askari hao kuingia mjini Musoma.
Viongozi na wanachama walibadili mbinu za maandamano kwa kutoka katikati ya mji na kwenda...
Makamanda ABINGE HE NGUZU. Napenda kuwaomba na kuwakumbusha kuhudhuria sherehe ya harambee ya kuchangia Chadema ndani ya mkoa mpya wa Simiyu kwenye wilaya mpya ya Itilima itafanyika tarehe 28 mwezi huu katika ukumbi wa Bariadi Motel kuanzia saa nne asb. Sherehe hiyo itaambatana na uzinduzi wa...
mayange
usitake kujipa ujiko usiokuhusu,lugha yako tu inaonyesha kuwa wewe ni gamba halafu unajidai kuwa unauchungu sana na cdm. Tulia dawa ipenye na mwaka huu mnalo.
Wana jf msipuuze na wala msidharau kwa serikali ya ccm kutaka kumtimua balozi wa uingereza na wala msishangae kuona anahamishwa kutoka tz. Ninachoelewa ni kuwa nchi za ulaya zinapenda sana UJUHA wa ccm,maake hiki ni chama pekee duniani kinachoweza kuachia rasilimali yake ikachotwa kijinga namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.