Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho tena cha Nida naomba kufahamishwa,na je ingetokea nini kama tungekuwa tunakatiwa ticket bila hiyo...
Zima kila kitu chomoa kila kitu kilichochomekwa kwenye sockets halafu washa kimoja kimoja utagundua kinachosababisha kutrip then unaacha kukiwasha na kuita fundi
Serikali haijawahi kufanya biashara kwa ufanisi, Hayo mabasi hata yakiletwa elfu 10 yatafanyiwa ufisadi mpaka kampuni itakufa, rejea zilivyokufa kampuni za magari za mikoa kwa nini msiwaachie sekta binafsi? Kwa kweli viongozi wetu mnakera sana kwa sababu mwisho wa siku tutakaolipa haya madeni ni...
Serikali haishindwi kutenga fedha kwa ajili ya bima ya afya kwa wote na pia bima ya afya nao wanakusanya fedha nyingi sana tatizo la nchi hii ufisadi wa kutisha unaofanywa kwenye mfuko wa bima hata wananchi tukitoa 10000 kila mtu bado fedha haitatosha mwarobaini hapa ni KATIBA MPYA kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.