Tunaomba serikali itekeleze mambo yafuatayo 2018
1.Mimba iwe miezi minne baada ya miez 9 maana wamechoka kubeba[emoji12] [emoji12] [emoji12]
2.vocha ziuzwe mia 4 na mia 9 ili tupate mia za kukwangulia[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
3.chumvi itolewe bure sukari...
Wanaume wenzangu mwanamke anatakiwa alindwee kama mswaki wako hakikisha hautumiwi na MTU mwinginee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapo wanawake wamefurahi
Lakini piaaaa wanaume msisahau kubadilisha kila baada ya miezi flani kwani mswaki una...
Kukosolewa ukikosea inapendeza zaidii haijalishi kabila au taifa fkria kdogo kama utashindwa kumkosoa kwa kujali utaifa huisi kama unampa nafasi ya kuendelea kukosea zaid I'm the visitor[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.