Tatizo hawa jamaa hawatuelezi nini kilisababisha viwanda vyetu na masoko yetu ya awali yakafa ili tujipange kujilinda na maanguko hayo ya uchumi wetu yasijirudie,,,,,
Any Way,since Politics Is Power,twendeni tu hivyo hivyo mbele kwa mbele maisha mazuri hayataki haraka!!