Recent content by sanjingu

  1. S

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    Sidhani kama taarifa hii imefanyiwa utafiti wa kutosha
  2. S

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    :target::target::target::target::target::target::target::ohwell::ohwell::ohwell::ohwell::ohwell::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
  3. S

    Uzinduzi wa mbio za mwenge wa uhuru butiama aibu tupu

    kila mkoa wa tz bara wilaya mbili. but Znbr kila mkoa wilaya moja. Calculate!
  4. S

    Chuo kipya cha NELSON MANDELA

    Huo sasa ni ubaguzi, CHuo kiwe wapi? Kwaajili yani?
  5. S

    Mh. Pinda anaposhindwa kujibu maswali mepesi

    Ni heri ya lowassa kuliko huyu.
  6. S

    Mh. Pinda anaposhindwa kujibu maswali mepesi

    Ni heri ya lowassa kuliko huyu.
  7. S

    Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Sasa nguve ya bunge liko na kazi yake sahihi.....
  8. S

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    mawazili wa sasa ni la kulinda masilahi ya chama zaidi, hilo si tatizo sana kinachuma ni jinsi wazivyo urma hata kidogo sisi tulio na mahangaiko, mateso, taabu na machukizo kila kukicha. ipo siku haya yatakuwa historia tena kwa nguvu. HII NI MIAKA 50 BAADA YA UHURU
  9. S

    Ni aibu kubwa mwanasiasa kujidhalilisha kiasi hiki...

    Ukweli ni kwamba hata wafanye vipi mwisho wa siku kilakitu kitakuwa wazi, itajulikana kuwa nani yuko nyuma ccm na nani ni mpinzani wa kweli. Mwenye nia njema na mapenzi mema na tz.
  10. S

    CHADEMA hopeless

    Kazi za chama cha siasa nini? Rejea sheria ya vyama vingi ya 1992. Jiaangalie na kimombo chako utapotezwa sasa hivi
  11. S

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    IPO SIKU UTAJUA TOFAUTI YA KUDAI NA KUTAWALA 'wildcard'
  12. S

    TBC Mnaibagua Chadema Mpaka lini?

    Lakini wakumbuke mwisho wao unakuja na tena ni karibu sana, hawatakuwa upande wa ccm wara cdm au cuf. Siku ambayo kila kilicho cha uma kitakuwa kwa ajili ya uma, SIKU HIYO TUNAINGOJA SANA
  13. S

    TBC Mnaibagua Chadema Mpaka lini?

    Lakini wakumbuke mwisho wao unakuja na tena ni karibu sana, hawatakuwa upande wa ccm wara cdm au cuf. Siku ambayo kila kilicho cha uma kitakuwa kwa ajili ya uma, :israel:
  14. S

    Rais, hakuna kampeni

    Ndugu mtukufu raisi wa Jamuhuri ya Tanganyika, Kampeni za kukuondoa madarakani zilifanyika mwishoni mwa mwaka jana, lakini haikuwezekana na tulikubali kuwa tumeshindwa sasa hofu yako nini? Kinachofanyika ni kazi za chama na si vinginevyo na wala usihofu. Huku tuliko hatuna hata kisu wala rungu...
  15. S

    Mama Kilango apiga Kambi Moshi mjini; kumng'oa Ndesamburo?

    Mama kilango siyo mpiganaji, kwa nilijua hayo wakati wamijadala ya bungeni. Hajawahi kuiprement issue yoyote zaidi ya kuchangia ya wenzake. Na mara kwa mara ni ile inayo husu makosa furani. Sema tu anauwezowa kutoa sauti au kupanua midomo.
Back
Top Bottom