Rais, hakuna kampeni

sanjingu

Member
Jul 14, 2009
32
0
Ndugu mtukufu raisi wa Jamuhuri ya Tanganyika,
Kampeni za kukuondoa madarakani zilifanyika mwishoni mwa mwaka jana, lakini haikuwezekana na tulikubali kuwa tumeshindwa sasa hofu yako nini?
Kinachofanyika ni kazi za chama na si vinginevyo na wala usihofu.
Huku tuliko hatuna hata kisu wala rungu, tunchofanya ni kuwaeleza wananchi ambao ni waripakodi kuwa HATUNA UMEME WAKATI GASI TUNAYO,
HATUNA MAJI SAFI NA SALAMA WAKATI KODI TUNALIPA,
WATENDAJI WAKO NI MAFISADI
 
hii mitazamo na matarajio kuna siku yatakuwa dhahiri, tusonge mbele tudai hali bora .........
 
Back
Top Bottom